Religion is the opium of poor people (dini ni kilevi cha watu masikini)Dini zimepitwa na wakati, ni vichaa tu ndo wanaabudu masuala ya Dini. 🤒🤒
Hao ndio washirika wakubwa wa Israel na Marekani ndio ufahamu nini Marekani inapambania 😀Hii ndio maana halisi ya taifa la kiislamu 😭
View attachment 3694562
Kwa hivyo American waongo.kwamba wanawake wanalazimishwa?Iran sio Afghanistan...
Hata walioazisha dini sidhani kama walitegemea watu watakuwa mazuzu kiasi hiki kwenye kuabudu dini kupitiliza ..Religion is the opium of poor people (dini ni kilevi cha watu masikini)
Nyie ni wa mashariki? Wapi wa kaskazini na kusini walisema Iran haina warembo?Wanawake wanaruhusiwa kutembea kichwa wazi? Sikiliza video hii kwanza comments
View attachment 3694559
Pakistan jirani yao; Turkiye jirani yao mwingine watu wa dini kindakindaki watu na wanawake kwa ujumla wako huru sana. Waachwe nao wapumue kama wenzao.Wanawake wanaruhusiwa kutembea kichwa wazi? Sikiliza video hii kwanza comments
View attachment 3694559
Hiyo itakuwa ni Iran after Ayatolah.Wanawake wanaruhusiwa kutembea kichwa wazi? Sikiliza video hii kwanza comments
View attachment 3694559
America wenyewe wanakwambia wana uhuru wa maoni. Lakini wanaotoa maoni negative kuhusu Israel wanakabiliwa na changamoto hadi wamepitiaha sheria kuhusu kuisema vibaya Israel. Hilo linakuonyesha kwamba hakuna uhuru kamili sehemu yoyote duniani.Kwa hivyo American waongo.kwamba wanawake wanalazimishwa?
Unataka waendelee kuvaa kama kunguru?Wanawake wanaruhusiwa kutembea kichwa wazi? Sikiliza video hii kwanza comments
View attachment 3694559