Iran kwazidi kuwaka moto wakati uchumi ukizidi kuporomoka zaidi.

Imeloa

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
17,999
Reaction score
21,560
Migogoro ya ndani ya kisiasa nchini Iran inazidi kushamiri huku matatizo ya kiuchumi yakiongezeka.

Wafuasi wa msimamo mkali wanaongeza shinikizo dhidi ya serikali ya Iran na kutaka Waziri wa Mambo ya Nje, Abbas Araghchi, aondolewe madarakani. Waziri wa Mafuta amejiuzulu, lakini hatua hiyo haijasaidia sana kupunguza shinikizo linalomkabili Rais Masoud Pezeshkian.

Wakati vita vikiendelea na juhudi za kidiplomasia za kutafuta suluhisho zikipata mafanikio madogo, mapambano ya ndani ya kuwania madaraka yanazidi kushika kasi. Serikali ya Rais Pezeshkian ndiyo inayokabiliwa na mvutano unaozidi kuongezeka.

uzuri wa hao watu israel na marekani wakileta shobo tu wanaungana na kuwashughulikia kwanza....thats why hao sio venezuela wala libya
 
Nani kakudanganya! Wairan hawajawahi kuwa wamoja. Iran ndiyo nchi inayoongoza kwa idadi ya wananchi wake mukimbilia mataifa mengine kutokana na kutokubaliana na watawala. Pia Iran ndiyo nchi ambayo watawala wake wanaoongoza kuwanyonga raia wao. Na wamekuwa wakiendelea kufanya hivyo hata wakati bita ikiendelea.
 
Wakae Mezani Wazungumze Vinginevyo
Ngoma Inapasuka Sasa Tunaiona
 
Nani kakudanganya! Wairan hawajawahi kuwa wamoja. Iran ndiyo nchi inayoongoza kwa idadi ya wananchi wake mukimbilia mataifa mengine kutokana na kutokubaliana na watawala. Pia Iran ndiyo nchi ambayo watawala wake wanaoongoza kuwanyonga raia wao. Na wamekuwa wakiendelea kufanya hivyo hata wakati bita ikiendelea.
sehemu isiyo na umoja masaa 12 tu yanatosha kuiangamiza hivi tunavyoongea miaka nenda rudi marekani na shosti yake washafanya kila aina ya mbinu kuwaangusha hao lkn wapi,sheria za nchi husika lazma zifatwe ktk nyakati zozote za vita na furaha,hata wasiokubaliana na sera za trump na israeli wanaishi kwa tabu huko walipo sio iran pekee yanatokea hayo mambo
 
Migogoro ya ndani ya kisiasa nchini Iran inazidi kushamiri huku matatizo ya kiuchumi yakiongezeka.

Wafuasi wa msimamo mkali wanaongeza shinikizo dhidi ya serikali ya Iran na kutaka Waziri wa Mambo ya Nje, Abbas Araghchi, aondolewe madarakani. Waziri wa Mafuta amejiuzulu, lakini hatua hiyo haijasaidia sana kupunguza shinikizo linalomkabili Rais Masoud Pezeshkian.

Wakati vita vikiendelea na juhudi za kidiplomasia za kutafuta suluhisho zikipata mafanikio madogo, mapambano ya ndani ya kuwania madaraka yanazidi kushika kasi. Serikali ya Rais Pezeshkian ndiyo inayokabiliwa na mvutano unaozidi kuongezeka.

Yaani mambo yetu ya ndani yanatushinda; Lakini tupo bize kutwa kucha kujadili mambo ya nchi nyingine?
SIJUI TUNA MATATIZO YA AFYA YA AKILI???
Ndio sababu natamani tubadili mitaala ya elimu twende na Hesabu na Sayansi...
 
Migogoro ya ndani ya kisiasa nchini Iran inazidi kushamiri huku matatizo ya kiuchumi yakiongezeka.

Wafuasi wa msimamo mkali wanaongeza shinikizo dhidi ya serikali ya Iran na kutaka Waziri wa Mambo ya Nje, Abbas Araghchi, aondolewe madarakani. Waziri wa Mafuta amejiuzulu, lakini hatua hiyo haijasaidia sana kupunguza shinikizo linalomkabili Rais Masoud Pezeshkian.

Wakati vita vikiendelea na juhudi za kidiplomasia za kutafuta suluhisho zikipata mafanikio madogo, mapambano ya ndani ya kuwania madaraka yanazidi kushika kasi. Serikali ya Rais Pezeshkian ndiyo inayokabiliwa na mvutano unaozidi kuongezeka.

Si kweli.Watu walioshinda vita/mpambano na mabeberu wanateterekaje tena?
 
Back
Top Bottom