Hali ya Mashariki ya kati ipo katika utulivu,Tanzania bei Mafuta imeshuka au bado tupo pale pale

Hali ya Mashariki ya kati ipo katika utulivu,Tanzania bei Mafuta imeshuka au bado tupo pale pale

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,678
Reaction score
5,166
Kufungwa kwa mfereji wa Hormuz kumeathiri kwa kiasi kikubwa uchumi wa Dunia jambo ambalo limepandisha bei ya Mafuta na gas karibuni ulimwengu kote hususani Tanzania.

Kwa sasa mgogoro huu upo katika hali nzuri ya mapatano ya kufunguliwq upya kwa njia kuu ya Biashara na tayari uchumi wa Dunia umeanza kujengeka upya.

Kwengineko Mafuta yameshuka bei ila nchini kwetu Sina taarifa yoyote ya kupungua kwa bidhaa hiyo.
 
Back
Top Bottom