silent lion
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,644
- 2,416
Nyani akimaliza miti huingia mwilini. Kumekuwepo na ongezeko kubwa la vitendo vya chuki dhidi ya wakristo na ukristo hususan Lebanon na Palestina.
Baada ya kulivunja sanamu la yesu Kristo, juzi myahudi mmoja alionekana akimshambulia mtawa wa kikristo katika jiji la Jerusalem, bila ya kua na hatia yoyote.
Leo myahudi mwengine ameonekana akitema mate katika kanisa moja huku akitoa matusi mazito dhidi ya wakristo.
Kama hawana ndio mnasema taifa teule ndugu zangu mtafakari sana.