Kombola jipya la Marekani Hypersonic Dark Eagle kupelekwa Mashariki ya kati!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Habari mbaya sana kwa watetezi wa Magaidi wa Iran
Kwa mara ya kwanza, Amri Kuu Central-Command ya Marekani inaomba kupeleka Mifumo ya kombora jipya la hypersonic la Marekani, Dark Eagle katika Mashariki ya Kati, kwa ajili ya matumizi katika eneo la Iran hasa kwenye vituo vya ki Nuclear na miji inayoitwa ya makombola huko iran

Gharama ya kila kombora kama hilo, ambalo lilianza kufanya kazi mwaka wa 2025 pekee, inakadiriwa kuwa dola milioni 15. Masafa yake yaliyotajwa ni kama kilomita 2,800, na linafikia kasi ya Mach 5. Faida zake ni kasi, usahihi, na mashambulizi yenye ufanisi dhidi ya malengo magumu kupasuka kama vile mapango ya kwenye milima kwa kombola hili linaweza kupenya ndani kabisa ya miamba na kuleta madhara makubwa!!
 
Attachments

  • IMG_20260503_035100_575.jpg
    IMG_20260503_035100_575.jpg
    52.5 KB · Views: 26
  • VID_20260503_040537_162.mp4
    19 MB
Story za cowboys hizo pia tuliambiwa US ana boom linaitwa GBU-57 (MOP) linajulikana kama the bunker buster sijui lita destroyed silaha zile zote za Iran na Nuclear hata ziwe chini ya ardhi au ndani kwenye milima hahaha vichaa tu ndio wataweza kuamini story za cowboys

Kwa tarifa yako US ni mtoto sana kwenye Hypersonic missiles kwa Iran unadhani Iran hana uwezo wa kutungua hizo missiles
 
The Dark Eagle (Long-Range Hypersonic Weapon - LRHW) is highly destructive, designed to strike time-sensitive, heavily defended targets over 2,700–3,500 km away at speeds exceeding Mach 5 (potentially Mach 10+).

It uses a non-nuclear, maneuvering glide vehicle to evade air defenses, providing unmatched speed and precision to neutralize targets within minutes.

KEY DESTRUCTIVE CAPABILITIES
Extreme Speed & Velocity:

Traveling above Mach 5, it drastically reduces reaction time for air defenses. Some reports indicate it can reach Mach 17 at certain altitudes, making interception extremely difficult.

MANEUVERABILITY:
Unlike traditional ballistic missiles with predictable arcs, Dark Eagle glides through the upper atmosphere and can change course, making it hard to track and intercept...
 
Habari mbaya sana kwa watetezi wa Magaidi wa Iran
Kwa mara ya kwanza, Amri Kuu Central-Command ya Marekani inaomba kupeleka Mifumo ya kombora jipya la hypersonic la Marekani, Dark Eagle katika Mashariki ya Kati, kwa ajili ya matumizi katika eneo la Iran hasa kwenye vituo vya ki Nuclear na miji inayoitwa ya makombola huko iran

Gharama ya kila kombora kama hilo, ambalo lilianza kufanya kazi mwaka wa 2025 pekee, inakadiriwa kuwa dola milioni 15. Masafa yake yaliyotajwa ni kama kilomita 2,800, na linafikia kasi ya Mach 5. Faida zake ni kasi, usahihi, na mashambulizi yenye ufanisi dhidi ya malengo magumu kupasuka kama vile mapango ya kwenye milima kwa kombola hili linaweza kupenya ndani kabisa ya miamba na kuleta madhara makubwa!!
Filamu za Hollywood zinakudanganya dogo Marekani kakutana na mfupa kagongwa mpaka kaomba ceasefire
 
Marekani bila nyuklia sawa na mtu anaetaka kula nyama wakati hana meno
Iran kamatieni hapo hapo mpaka kieleweke Hormuz watoe kiasi ama wapite angani
Wewe mjinga kweli Hormuz yenyewe imefungwa na Marekani harafu wewe ilivyo Bumunda unawaambia Iran wakamatie hapohapo!!!
 
Habari mbaya sana kwa watetezi wa Magaidi wa Iran
Kwa mara ya kwanza, Amri Kuu Central-Command ya Marekani inaomba kupeleka Mifumo ya kombora jipya la hypersonic la Marekani, Dark Eagle katika Mashariki ya Kati, kwa ajili ya matumizi katika eneo la Iran hasa kwenye vituo vya ki Nuclear na miji inayoitwa ya makombola huko iran

Gharama ya kila kombora kama hilo, ambalo lilianza kufanya kazi mwaka wa 2025 pekee, inakadiriwa kuwa dola milioni 15. Masafa yake yaliyotajwa ni kama kilomita 2,800, na linafikia kasi ya Mach 5. Faida zake ni kasi, usahihi, na mashambulizi yenye ufanisi dhidi ya malengo magumu kupasuka kama vile mapango ya kwenye milima kwa kombola hili linaweza kupenya ndani kabisa ya miamba na kuleta madhara makubwa!!
Mimi naamini katika haya mapumziko, kila nchi (Iran, US na Israel) inaendelea kujipanga kisawa sawa. Vita vijavyo kama vitatokea vitakuwa vibaya sana.

Karata ya Israel na Marekani kuisambaratisha Iran ilikuwa ni ile awamu ya kwanza ambapo Iran walipuuza maonyo ya Urus mpaka wakashambuliwa huku maandalizi yao yakiwa hafifu lakini tangu hapo Iran wamekuwa wanachukua tahadhari za hali ya juu ndio maana awamu hii wamejitahidi kuhimili vita
 
Wewe mjinga kweli Hormuz yenyewe imefungwa na Marekani harafu wewe ilivyo Bumunda unawaambia Iran wakamatie hapohapo!!!
Blockade ya marekani Haina unafuu wowote Kwa meli kupita kwenye hicho kichochoro. Still mwisho wa siku lazima Iran na marekani wakae mezani kuridhia njian ifunguliwe.
 
Ukianza kutoa akiba yako ya siri ujue umeshikwa pabaya sana. Unakuwa huna jinsi unatoa kile cha uvunguni kabisa eg Us

Labda wanataka kulifanyia .ajaribio halisi huko Iran.
Marekani na Israel hawajawahi kutumia ballistic au supersonic misiles dhidi ya Iran, labda ni kwa kuidharau Iran. Muda wote wametumia mashambulizi ya ndege. Na Iran, kwa sababu ya hofu haijawahi kufanya shambulio lolote la ndege dhidi ya Israel na Marekani.

Lakini wataalam wa vita wanaeleza kuwa precision ipo kwenye mashambulizi ya ndege na siyo kwenye ballistic misiles, ndiyo maana unaona Iran ikirusha mamia ya makombora, lakini yanayoifikia target hayafiki hata 5%n na zaidi ya 90% yanadunguliwa na mengine kudondokea maporini.
 
Kwa ajili ya kuulia wanawake na watoto mashariki ya kati
Toka lini wanawake na watoto wanaenda kwenye uwanja wa vita?

Tunajua ni kawaida ya Magaidi kuwatumia wanawake na watoto Kama kinga(Human-Shield) hivyo hatushangai mkia za kubwabwaja wanawake na watoto
 
Habari mbaya sana kwa watetezi wa Magaidi wa Iran
Kwa mara ya kwanza, Amri Kuu Central-Command ya Marekani inaomba kupeleka Mifumo ya kombora jipya la hypersonic la Marekani, Dark Eagle katika Mashariki ya Kati, kwa ajili ya matumizi katika eneo la Iran hasa kwenye vituo vya ki Nuclear na miji inayoitwa ya makombola huko iran

Gharama ya kila kombora kama hilo, ambalo lilianza kufanya kazi mwaka wa 2025 pekee, inakadiriwa kuwa dola milioni 15. Masafa yake yaliyotajwa ni kama kilomita 2,800, na linafikia kasi ya Mach 5. Faida zake ni kasi, usahihi, na mashambulizi yenye ufanisi dhidi ya malengo magumu kupasuka kama vile mapango ya kwenye milima kwa kombola hili linaweza kupenya ndani kabisa ya miamba na kuleta madhara makubwa!!
Wapeleke tu.. sisi tupo hapa kushuhudia mibaruzo
 
Labda wanataka kulifanyia .ajaribio halisi huko Iran.
Marekani na Israel hawajawahi kutumia ballistic au supersonic misiles dhidi ya Iran, labda ni kwa kuidharau Iran. Muda wote wametumia mashambulizi ya ndege. Na Iran, kwa sababu ya hofu haijawahi kufanya shambulio lolote la ndege dhidi ya Israel na Marekani.

Lakini wataalam wa vita wanaeleza kuwa precision ipo kwenye mashambulizi ya ndege na siyo kwenye ballistic misiles, ndiyo maana unaona Iran ikirusha mamia ya makombora, lakini yanayoifikia target hayafiki hata 5%n na zaidi ya 90% yanadunguliwa na mengine kudondokea maporini.
Unajua US ilichukulia poa Iran ikategemea itamaliza vita chap, matokeo yamekuwa siyo tarajiwa kbs
 
Vita haipigani kwenye magazeti au mdomoni Hizo propaganda zao wapelekwe miaka ya 70 huko sio Sasa !

Now days ni mkong'oto tu Toka Kwa Iran hatutaki kuwa fooled Tena
 
Habari mbaya sana kwa watetezi wa Magaidi wa Iran
Kwa mara ya kwanza, Amri Kuu Central-Command ya Marekani inaomba kupeleka Mifumo ya kombora jipya la hypersonic la Marekani, Dark Eagle katika Mashariki ya Kati, kwa ajili ya matumizi katika eneo la Iran hasa kwenye vituo vya ki Nuclear na miji inayoitwa ya makombola huko iran

Gharama ya kila kombora kama hilo, ambalo lilianza kufanya kazi mwaka wa 2025 pekee, inakadiriwa kuwa dola milioni 15. Masafa yake yaliyotajwa ni kama kilomita 2,800, na linafikia kasi ya Mach 5. Faida zake ni kasi, usahihi, na mashambulizi yenye ufanisi dhidi ya malengo magumu kupasuka kama vile mapango ya kwenye milima kwa kombola hili linaweza kupenya ndani kabisa ya miamba na kuleta madhara makubwa!!
Kombora
 
Back
Top Bottom