SI KWELI Netanyahu Atoa Onyo Kali kwa Iran Katika Mgogoro wa Mashariki ya Kati

SI KWELI Netanyahu Atoa Onyo Kali kwa Iran Katika Mgogoro wa Mashariki ya Kati

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Source #1
View Source #1
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ametoa onyo kali dhidi ya Iran, akitishia kuchukua hatua kali zaidi iwapo nchi hiyo itajihusisha moja kwa moja na mashambulizi ya makombora kwenye ardhi ya Israel.

Onyo hili linakuja katikati ya kuongezeka kwa mvutano mkali kati ya Israel na kundi la Hezbollah lenye makazi yake nchini Lebanon, ambalo linapokea uungwaji mkono mkubwa kutoka kwa serikali ya Iran. Mgogoro huo umezua hofu kubwa ya kutanuka kwa vita katika eneo lote la Mashariki ya Kati.

1789479018807.png
 
Tunachokijua
Kumekuwa na Poster yenye utambulisho wa chombo cha habari cha RFI kikiwa na ujumbe unaodaiwa kutolewa na waizir Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu akiionya Iran. Ujumbe huo unasomeka

"Netanyahu atishia kujibu kwa kuiangamiza Iran iwapo watajichanganya kudondosha kombora kwenye ardhi yao"

JamiiCheck imefuatilia na kujirirdhisha kuwa taarifa hiyo si ya kweli. kwa kutumia utafutaji wa maneno muhimu "Keyword search" imebainika kuwa Netanyahu hakutoa ujumbe huo hivi karibuni.

Hata hivyo Taarifa hiyo pia haijachapishwa na RFI swahili kama inavyodaiwa na badala yake imekuwa ni Poster ya kubuni ikiwa na baadhi ya ya dosari ikiwemo makosa ya kisarufi mathalani Iran kuandikwa kwa herufi ndogo herufi ya kwanza.
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ametoa onyo kali dhidi ya Iran, akitishia kuchukua hatua kali zaidi iwapo nchi hiyo itajihusisha moja kwa moja na mashambulizi ya makombora kwenye ardhi ya Israel.

Onyo hili linakuja katikati ya kuongezeka kwa mvutano mkali kati ya Israel na kundi la Hezbollah lenye makazi yake nchini Lebanon, ambalo linapokea uungwaji mkono mkubwa kutoka kwa serikali ya Iran. Mgogoro huo umezua hofu kubwa ya kutanuka kwa vita katika eneo lote la Mashariki ya Kati.

View attachment 3671246
Huyu mwamba hanaga utani. Kobaz tulieni acheni fyoko-fyoko zenu na huyu mwamba. Atawaumiza kweli.
 
Back
Top Bottom