Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Vyanzo kutoka Gaza vinasema kuwa Mohammad Al-Bayoukh, ambaye aliuawa katika shambulio la ndege isiyo na rubani ya Israel huko Khan Younis siku mbili zilizopita, alipokea simu kutoka kwa afisa wa shirika la usalama la Israel, Shin Bet, akimwamuru apande juu ya paa la shule inayotoa hifadhi kwa familia zilizokimbia makazi yao: ili wa aangamiz
"Usipopanda juu ya paa ili tu kuangamiza, tutakushambulia hapo ulipo pamoja na wanafamilia wako." Gaidi Mohammad Al-Bayoukh alitii bila shuruti akapanda juu ya paa la jengo Hilo na IDF bila kufanya ajizi yoyote walimwangamiza bila huruma yoyote
Kulingana na maelezo hayo, Al-Bayoukh alitii amri hiyo na hatimaye akauawa peke yake katika shambulio hilo. Hongera sana IDF kwa kazi nzuri