passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,881
- 13,096
Wengi humu tunashabikia vita. wengi wetu tumeamua kuchagua upande lakini hivi vita vinasiri kubwa sana.mfano vita vya ukraine vinaenda kusababisha mgogoro mkubwa kati ya Ulaya(NATO) na Urusi na kila mtu anauona kabisa muelekeo huo kwa sababu upo wazi kabisa.
Na pia mgogoro wa mashariki ya kati hautaweza kuisha leo au kesho labda uwaue waarabu au wairan wote.ukweli ni kwamba ukifikiria vizuri utagundua njia zote zinaelekea sehemu moja ( like all roads lead to ROME).
Atatokea kiongozi mmoja ambaye ataweza kusuluhisha vita vyote, ataleta amani na pia atawasainisha waisrael mkataba na waarabu ili kuleta amani mashariki ya kati kwa sababu ukiangalia haya yote ni mpango kazi wa kuipeleka dunia huko.kwa mfano haiingilii akilini kwamba urusi anapigana na ukraine kwa sababu anaogopa kuzungukwa na NATO anaogopa nini wakati anasilaha za Nuclear?.
Huyo kiongozi pia atawashawishi kuwa dunia iwe na serikali moja eti ili ndiyo suluhisho ya matatizo yote ya dunia.Hamuoni wimbo wa 'NEW WORLD ORDER ' unaimbwa hadharani kabisa na viongozi wakubwa kina trump,Putin mwenyewe NK kuna ushahidi gani tena mnataka wa ujio wa huyo kiongozi?
ila fanya jitihada huyo kiongozi asikukute duniani na njia pekee kila mtu anajua.