Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 8,797
- 15,762
Biblia wameandika watu kama wewe, amkaau wewe upo gizani, mimi sio msabato wewe kama ni mkristo unatakiwa uwe unajua kila kitu kwa sababu Biblia Imeandika kila kitu na sasa hivi mipango ipo wazi amka.