YASIYOSEMWA
Member
- Jun 1, 2026
- 68
- 149
Persians Hao jamaa wanahistoria ya muda mrefu wa kuwa watetezi wakubwa wa jamii za mashariki YA Kati toka kuanzianzishwa kwa ustaarabu wa kiajemi...
Hawa jamaa waliwaokoa waisrael wa kale waliokua wamechukuliwa utumwani Babel(Iraq YA Leo) na namna walivoushinda ufalme wa belishaza Kwa kuchepusha maji YA MTO uphrate ili kuingia NDANI YA ngome kubwa na ngumu kupenyeka ilikua Ni maajabu.
Na baada ya hapo walichokifanya Ni kuwarudisha wayahudi kwenye ardhi Yao Chini ya amri ya mfalme kuro(Cyrus)
Lakini pia walisaidia kujenga hekalu la suleimani lilokuwa limebomolewa. Na mwishowe walitawala ulimwengu uliojulikana wakati huo si Kwa Vita vya conquest bali ustadi mkubwa wa kutumia diplomasia..
My take:Kwa hili la uonevu mkubwa wa wapalestina Na walebanoni Hakika MAREKANI isipokua makini inaenda kupoteza superpower hegemony kama vile yalivyowakuta wababeli wa kale Na waturuki Enzi ZA ottoman