Katika kujenga Discipline (Nidhamu) hakuna vita kali kama Will Power Vs Self controll, Ni rahisi sana kusema I will do xx ila ni mtihani kufanya kweli

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Nidhamu au Discipline ni tunda la ku master Self Contoll mara kwa mara mpaka inakuwa sehemu ya maisha yako, lakini una kazi ya ziada ya kumechisha Self Controll na WillPower, Sio kazi rahisi.

Will ni nia au maamuzi unayojiwekea. ndio maana kwenye kiingereza huwa tunasema i will ......

“Nitaacha kuwa mvivu.”
“Nitaacha kuchelewa kazini.”
“Nitaacha kuwa mvivu wa kuhesabu mzigo.”
“Nitaacha kunywa pombe.”
“Nitaacha kuropoka hovyo.”
"Nitaacha kufanya sex na mke wa mtu"

Hayo yote ni Will. Ni maamuzi unayoyafanya kabla hujaingia kwenye mazingira ya mtihani.

Sasa Will Power ni nguvu ya nia ya kusimamia hayo maamuzi pale unapokutana na mazingira yanayokushawishi kufanya kinyume. ni vita ya ndani ya nafsi dhidi ya msukumo unaotaka kwenda kinyume na uamuzi wako.

Ulisema utaacha kuwa mvivu. Kazi imeletwa, lakini mwili hautaki. Ukianza vita ya nafsi na kujiambia, “Hapana, nataka kuifanya hii kazi,” hiyo ni Will Power.

Ulisema utaacha kuchelewa kazini. Alarm inapiga asubuhi, usingizi bado mtam, kichwa kinakuambia ulale dakika nyingine. Ukiamua, “Hapana, sitaki kuendelea kulala, naamka,” hiyo ni Will Power.

Ulisema utaacha kuwa mvivu wa kuhesabu mzigo. Ijumaa imefika, jua linakaribia kuzama, una ratiba nyingine na mwili umechoka. Lakini unaamua, “Ninahesabu huu mzigo kwanza,” hiyo ni Will Power.

Uliamua utaacha pombe. Jioni baada ya kazi rafiki yako anakupigia simu, anakwambia kuna ofa sehemu fulani. Kabla hujamjibu, unapata vita ya nafsi na kujiambia, “Mimi na pombe sasa basi, sitaki kwenda,” hiyo ni Will Power.

Uliamua utaacha kuropoka hovyo. Upo JF, mtu kakujibu shit. Kichwani tayari una majibu kumi ya kumchana. Ukijiambia, “Hapana, siwezi kumjibu kwa kuropoka,” hiyo ni Will Power.

uliamua utaacha kulala na mke wa mtu, Siku anakupigia simu au mnakutana sehemu ambayo kawaida ilikuwa inapelekea kufanya sex. Unaanza kupata tamaa, lakini ndani yako unasema: “Hapana. Niliamua kuacha. Sitaki kurudi huko.” hio ni will power

Lakini sasa tunafika kwenye sehemu ngumu zaidi: Self-Control.

uwezo wa kudhibiti fikra, hisia, hamu, misukumo na matendo ili yafuate uamuzi wako.

Swali ni hili:

Je, mwili wako utafuata uamuzi huo?
Je, utaweza kuzuia hasira?
Je, utaweza kuzuia hamu?
Je, utaweza kudhibiti mawazo na msukumo wa kufanya kile unachotaka kufanya muda huo?

Hapo ndipo mtihani wa kweli ulipo.

Unaweza kuwa na Will nzuri kabisa. Unaweza hata kuwa na Will Power kubwa kichwani. Lakini mwisho wa siku Self-Control ndiyo inaonekana kwenye action yako.

Alarm imepiga, umeamua utaamka, lakini unamina snooze, unavuta shuka umeendelea kulala? Will Power ilipambana, Self-Control ikashindwa.

Rafiki kakuita kwenye pombe, nafsi ilikataa kwenda, lakini dakika 20 baadaye upo kwenye boda unaelekea bar? Will Power ilikuwepo, Self-Control ikashindwa.

Mtu kakutukana JF, ukaamua hutamjibu kwa hasira, lakini baada ya dakika mbili umeandika paragraph saba za matusi? Will Power ilijaribu, Self-Control ikashindwa.

uliamua kuacha kulala na mke wa mtu, mpo peke yenu, tamaa imekuingia, will power inakuambia NO ! lakini hisia, fikra na mwili umeisaliti nafsi, baada ya dakika tatu tu mnaongea zero distance, ghafla mmeanza kukiss, maji yanazidi kufuata mkondo, self contol imeshafeli
 
Kwa hiyo:

Nidhamu au Self Discipline ni tunda la Kufanya ku master Self Contoll mara kwa mara mpaka inakuwa sehemu ya maisha yako.

Na hapo ndipo Discipline inapojengwa.

.
Nidhamu = Maumivu sababu asili ya mwili wowote wa binadamu huhitaji kurelax, ila ubongo huulazimisha mwili kufanya kile ambacho haukipendi kwa kuwa una nia ya kutaka kufikia ndoto zako. Maana hakuna urahisi katika mafanikio yoyote. Hivyo basi utalazimika kujinyima vitu vingi sana kuepukana na vikwazo kama anasa, kukata tamaa ukichukulia waliofanikiwa ni chachu ya wewe kuamini kivyovyote tu utatoboa huku ule upepo wa "kutoridhika" ukikusukuma kukutahadharisha;
1. Muda ni mali.
2.. Hakuna marefu yasiyokuwa ncha.
3. Hakuna pesa zilizowahi kutosheleza mahitaji.

Ubinadamu ni kazi/humanity is work.
 
Kitu kinapofikia stage ya kuwanidhamu unakuwa umeshakizoea, ni sehemu ya maisha yako, kama ni maumivu ni kidogo

Maumivu huwa yapo wakati unafanya kitu kwa self controll kuzidi self Deiscipline, stage hii unafanya kitu kwa resistace kubwa na efforts kubwa

Unaporudia na kurudia tena hadi kinapoanza kuwa sehemu ya maisha yako ndio inaitwa Doscipline

unaweza kupitia uzi wangu mwengine

ukiweka uzi wa uislam vs Ukisto, tabia za kabila, yanga simba, mapenzi, wachangiaji wanatiririka kama maji 🤣

Ila ukiweka vyakula vya ubongo kama hivi hutoboi zaidi ya page 1
 
Kitu kinapofikia stage ya kuwanidhamu unakuwa umeshakizoea, ni sehemu ya maisha yako, kama ni maumivu ni kidogo

Maumivu huwa yapo wakati unafanya kitu kwa self controll kuzidi self Deiscipline, stage hii unafanya kitu kwa resistace kubwa na efforts kubwa

Unaporudia na kurudia tena hadi kinapoanza kuwa sehemu ya maisha yako ndio inaitwa Doscipline

unaweza kupitia uzi wangu mwengine

Mwendelezo wa nidhamu haukosi misukosuko, ili uweze kutetea kombe bila kushusha mafanikio uliyowahi kupata zaidi ndiyo nidhamu yenyewe au maumivu.

Mfano CR7 vs Messi kwa kuwa na nidhamu katika soka kwa zaidi ya miaka 20 iliyopita.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Mwendelezo wa nidhamu haukosi misukosuko, ili uweze kutetea kombe bila kushusha mafanikio ya ulichowahi kupata na kupata zaidi ndiyo nidhamu au maumivu.

Mfano CR7 vs Messi kwa kuwa na nidhamu katika soka kwa zaidi ya miaka 20 iliyopita.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Dancer mzuri anajua wakati wa kuondoka jukwaani.

Juzi kati Ronaldo alijishusha heshima kwa kuondoka kwa hasira baada ya kupigwa benchi. Uamuzi wa busara zaidi ungekuwa ni kushangilia magoli, kuwatia moyo wachezaji wa kizazi kipya akiwa benchi na hapo baadae kutangaza anakubaliana na hali ya umri wake kwenda hawezi kuwa kama zamani.

Hakika, Messi atafanya hivyo siku atakapoamua kuondoka timu ya taifa ya Argentina, jambo litakalozidi kumwongezea heshima kubwa, tofauti na kuondoka kwa hasira pale tu anapokosa nafasi kwenye kikosi cha kwanza.
 
Mbona Messi ndiye alishastaafu siku nyingi sana soka katika timu ya taifa tena kwa hasira hizo hizo ila sababu ya roho ya wivu wa kimaendeleo ilibidi arudi tena kwenye soka?
Una habari Messi alishawahi kumpiga ngumi mchezaji mwenzake katikati ya mechi akiwa uwanjani?

Hujawahi kujiuliza kwanini CR7 ndiye ana fan base kuwa sana kuliko Messi ilihali Messi ndiye ana tuzo nyingi na hata za uchezaji bora duniani?

Kama hasira Messi anazo nyingi sana kuliko CR7, pia usichukulie kosa 1 kuwa reference ya nidhamu iliyojengwa kwa miaka zaidi ya 20 katika soka kwa hiyo miamba, angalia asilimia ngapi za mazuri waliyofanya mbali na madhaifu yao ya kibinadamu.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Mbona Messi ndiye alishastaafu siku nyingi sana soka katika timu ya taifa tena kwa hasira hizo hizo ila sababu ya roho ya wivu wa kimaendeleo ilibidi arudi tena kwenye soka?
Una habari Messi alishawahi kumpiga ngumi mchezaji mwenzake katikati ya mechi akiwa uwanjani?

Hujawahi kujiuliza kwanini CR7 ndiye ana fan base kubwa sana kuliko Messi ilihali Messi ndiye ana tuzo nyingi za hata za uchezaji bora duniani?

Kama hasira Messi anazo nyingi sana kuliko CR7, pia usichukulie kosa 1 kubwa reference ya nidhamu iliyojengwa kwa miaka zaidi ya 20 katika soka kwa hiyo miamba, angalia asilimia ngapi za mazuri waliyofanya mbali na madhaifu yao ya kibinadamu.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Sawa nimekupata mkuu, Tukafngue uzi jukwaa la michezo, humu tuendelee na ichango ya discipline, sel controll, will power
 
Nidhamu au Discipline ni tunda la ku master Self Contoll mara kwa mara mpaka inakuwa sehemu ya maisha yako, lakini una kazi ya ziada ya kumechisha Self Controll na WillPower, Sio kazi rahisi.

Will ni nia au maamuzi unayojiwekea. ndio maana kwenye kiingereza huwa tunasema i will ......

“Nitaacha kuwa mvivu.”
“Nitaacha kuchelewa kazini.”
“Nitaacha kuwa mvivu wa kuhesabu mzigo.”
“Nitaacha kunywa pombe.”
“Nitaacha kuropoka hovyo.”
"Nitaacha kufanya sex na mke wa mtu"

Hayo yote ni Will. Ni maamuzi unayoyafanya kabla hujaingia kwenye mazingira ya mtihani.

Sasa Will Power ni nguvu ya nia ya kusimamia hayo maamuzi pale unapokutana na mazingira yanayokushawishi kufanya kinyume. ni vita ya ndani ya nafsi dhidi ya msukumo unaotaka kwenda kinyume na uamuzi wako.

Ulisema utaacha kuwa mvivu. Kazi imeletwa, lakini mwili hautaki. Ukianza vita ya nafsi na kujiambia, “Hapana, nataka kuifanya hii kazi,” hiyo ni Will Power.

Ulisema utaacha kuchelewa kazini. Alarm inapiga asubuhi, usingizi bado mtam, kichwa kinakuambia ulale dakika nyingine. Ukiamua, “Hapana, sitaki kuendelea kulala, naamka,” hiyo ni Will Power.

Ulisema utaacha kuwa mvivu wa kuhesabu mzigo. Ijumaa imefika, jua linakaribia kuzama, una ratiba nyingine na mwili umechoka. Lakini unaamua, “Ninahesabu huu mzigo kwanza,” hiyo ni Will Power.

Uliamua utaacha pombe. Jioni baada ya kazi rafiki yako anakupigia simu, anakwambia kuna ofa sehemu fulani. Kabla hujamjibu, unapata vita ya nafsi na kujiambia, “Mimi na pombe sasa basi, sitaki kwenda,” hiyo ni Will Power.

Uliamua utaacha kuropoka hovyo. Upo JF, mtu kakujibu shit. Kichwani tayari una majibu kumi ya kumchana. Ukijiambia, “Hapana, siwezi kumjibu kwa kuropoka,” hiyo ni Will Power.

uliamua utaacha kulala na mke wa mtu, Siku anakupigia simu au mnakutana sehemu ambayo kawaida ilikuwa inapelekea kufanya sex. Unaanza kupata tamaa, lakini ndani yako unasema: “Hapana. Niliamua kuacha. Sitaki kurudi huko.” hio ni will power

Lakini sasa tunafika kwenye sehemu ngumu zaidi: Self-Control.

uwezo wa kudhibiti fikra, hisia, hamu, misukumo na matendo ili yafuate uamuzi wako.

Swali ni hili:

Je, mwili wako utafuata uamuzi huo?
Je, utaweza kuzuia hasira?
Je, utaweza kuzuia hamu?
Je, utaweza kudhibiti mawazo na msukumo wa kufanya kile unachotaka kufanya muda huo?

Hapo ndipo mtihani wa kweli ulipo.

Unaweza kuwa na Will nzuri kabisa. Unaweza hata kuwa na Will Power kubwa kichwani. Lakini mwisho wa siku Self-Control ndiyo inaonekana kwenye action yako.

Alarm imepiga, umeamua utaamka, lakini unamina snooze, unavuta shuka umeendelea kulala? Will Power ilipambana, Self-Control ikashindwa.

Rafiki kakuita kwenye pombe, nafsi ilikataa kwenda, lakini dakika 20 baadaye upo kwenye boda unaelekea bar? Will Power ilikuwepo, Self-Control ikashindwa.

Mtu kakutukana JF, ukaamua hutamjibu kwa hasira, lakini baada ya dakika mbili umeandika paragraph saba za matusi? Will Power ilijaribu, Self-Control ikashindwa.

uliamua kuacha kulala na mke wa mtu, mpo peke yenu, tamaa imekuingia, will power inakuambia NO ! lakini hisia, fikra na mwili umeisaliti nafsi, baada ya dakika tatu tu mnaongea zero distance, ghafla mmeanza kukiss, maji yanazidi kufuata mkondo, self contol imeshafeli
Negative energies ni mapepo wabaya sana
 
Wapo vizuri aisee,kwanza umalaya ni F,nyege watoe wapi na visimi vilishanyakuliwa.
 
Back
Top Bottom