Aliwahi kuwa Jaji Mkuu kama sikosei Jaji Augustino Ramadhani,aliwahi kusema kua kesi zote dunianiani hua zinasikilizwa sehemu mbili.
Sehemu ya kwanza ni ndani ya Mahakama na sehemu ya pili ni nje ya mahakama.
Ndani ya mahakama ni ndani ya mahakama kabisa chini ya mahakimu na mauaji.
Kesi...
Kwa mliokuja Inbox kutaka maoni yangu kuhusu press conference ya Lema tafadhali someni huu uzi kwa makini. Nitaandika kwa ufupi sana. Kwa ufupi ni kuwa Lema kakivua nguo chama chake na uongozi uliopo sasa. Haya ni mambo kadhaa niliyoona;
1. CHADEMA inahubiri kutaka haki ila inatenda tofauti...
Na ndio maana sikuhizi gereji za wachina zinazidi kuwa na demand kubwa, mtu anaona ni heri alipie mara tatu kuliko kwenda garage za mafundi wabongo.
Mafundi wetu wana tatizo moja kubwa: hawajui kusema "SIJUI."
Kila kitu wanalazimisha kukitengeneza hata kama hawana uelewa nacho. Mwisho wa siku...
Samia alikuwa na nafasi nzuri ya kuanza ukurasa mpya kupitia haya maadhimisho kuelekea Maridhiano ya Kitaifa lakini kashindwa kuitumia hii fursa.
Watu mbalimbali, mashirika mengi na nchi nyingi duniani zimeungana na Watanzania kuwaenzi watu walioathirika na kupoteza maisha siku hiyo zikiwemo...
Leo jioni nilikuwa napita sehemu ila sikuwa sehemu ya kundi pembeni mwangu ila lipo karibu na maeneo ambayo ni kama hayo maeneo wanaishi umoja au walipo Zanzibar .
Hapa mkoa X .Cha kwanza wanafurahi kuona tunavyo kufa,wanasema wao ndio wenye nchi ila mengine ni kama kuumiza na kuleta hasira...
Why doth CHADEMA perpetually resort to jocularity in matters of fundamental import? Ye remain passive, not active!
It is meet and proper for Lissu to abstain from nourishment, yet for us without to engage in a hunger strike is devoid of significance.
We ought to proceed unto the penitentiary...
Mamlaka ya ya hali ya hewa Tanzania(TMA) , imesema haijawahi kutangazia Umma kwamba kuna Mvua za El-nino.
Akiongea na Wasafi FM, Dkt. Mafuru Kantamla Meneja Ofisi Kuu ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) amesema wanaosema mvua za El-nino wanapotosha.
Kasema hivi, Namnukuu, "El-nino ni...
hivyo
ila
ili
inawezekana
katika
kiwanja
kununua
kusema
mashetani
mtaa
mtu
nataka
shetani
siku
upimaji
upimaji wa viwanja
ushetani
viwanja
wake
wamarekani
Kuna wakati tunakatishwa tamaa na ninyi viongozi. Sisi tunajitahidi sana kumpambania mama. Tunaanzisha threads na IDs mpya kila mara ingawa tupo wachache tuonekane wengi.
Tsh 7,000 kwa siku haitoshi. Ukiacha wale wachache ambao wameajiriwa na viongozi binafsi kuwapambania wao wanapata mpaka...
Katika video hii ya kihistoria inayokumbusha misingi ya taifa, Mwalimu Nyerere anasisitiza kuwa maendeleo hayawezi kutenganishwa na uhuru wa watu binafsi. Kwa mujibu wa Mwalimu, maendeleo ya vitu (kama barabara na majengo) hayana maana ikiwa hayamkomboi mwanadamu na kumpa nafasi ya kuamua hatala...
Ujamaa uko wapi Tanzania ? Kuna sera gani ya maana ya kijamaa Tanzania ya kunufaisha raia wote??
CCM acheni utapeli kusema sisi ni nchi ya kijamaa na mmeandika hivyo kabisa katika katiba yenu wakati hata huduma ya afya sio bure kama ilivyo kwenye nchi nyingi za kibepari kama Canada, Scandinavia...
Kama kuna mungu basi kuna shetani.Uwezi kusema hakuna mchana bila giza.
Haya tunaelewa kuna wale washinda doria CCM polisi hapa JF,JWTZ,usalama na chawa.
Mshapewa moja ili na lengine huko USA na ulaya mlichokifanya kuonga na kuuza nchi ombeni maraisi wao au wajinga wao wabaki.
Tumeona kwa mbowe na CHADEMA.
Wengine tutaki kabisa mazoea na mikoa ya kaskazini swala la biashara na mali.
Jambo lengine katika watu ambao wana kesi za kuua kwa ajili ya mali au kukumaliza silent ni watu wa visiwani znz.
Hawa wa znz wana uwezo wa kukufanya chochote ndio maana hata raisi na...
Wanawake ni viumbe wa ajabu sana, unakuta ndani mmegombana alafu gafla anaanza kusema "nipige nipige" huku ukiendelea ku-provoke au kuchochea hasira za mwanaume hili apate hasira zaidi, kisha ukimpiga anaanza kusema "Majirani ananiuaa, Majirani ananiuaaa"
Sasa ugomvi unauanzisha wewe, na...
Wakati wananchi wanajitafuta mfano wameona hapa wafanye biashara zao au mambo mengine na ilo eneo cha kushangaza wala serikali ijahusika.
Baada ya mda unaona serikali imeingilia ilo eneo na kuanza kupangia watu,kufukuza watu kwa kisingizio cha muwekezaji.
Leo hata mkianzisha sehemu ambapo...
TUNATAKA WAZIRI WA WANAUME. HIZI ZA KUSEMA WAZIRI WA JINSIA SIO KWELI. ALIYEPO WAZIRI WA WANAWAKE NA WATOTO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Wizard ya Maendeleo ya jamii, jinsia na watoto. Inafanya kazi kwa kiwango fulani. Labda tuite kiwango fulani kizuri katika mambo kadhaa.
Ila mimi...
Nidhamu au Discipline ni tunda la ku master Self Contoll mara kwa mara mpaka inakuwa sehemu ya maisha yako, lakini una kazi ya ziada ya kumechisha Self Controll na WillPower, Sio kazi rahisi.
Will ni nia au maamuzi unayojiwekea. ndio maana kwenye kiingereza huwa tunasema i will ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.