Ina maana gani katiba kusema sisi ni nchi ya kijamaa?

Ina maana gani katiba kusema sisi ni nchi ya kijamaa?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Ujamaa uko wapi Tanzania ? Kuna sera gani ya maana ya kijamaa Tanzania ya kunufaisha raia wote??

CCM acheni utapeli kusema sisi ni nchi ya kijamaa na mmeandika hivyo kabisa katika katiba yenu wakati hata huduma ya afya sio bure kama ilivyo kwenye nchi nyingi za kibepari kama Canada, Scandinavia na GCC.
 
Back
Top Bottom