Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 6,007
- 15,216
Leo jioni nilikuwa napita sehemu ila sikuwa sehemu ya kundi pembeni mwangu ila lipo karibu na maeneo ambayo ni kama hayo maeneo wanaishi umoja au walipo Zanzibar .
Hapa mkoa X .Cha kwanza wanafurahi kuona tunavyo kufa,wanasema wao ndio wenye nchi ila mengine ni kama kuumiza na kuleta hasira zaidi.
Kiukweli hapa nilipo kuanzia mkurugenzi wa wilaya,mkuu polisi,TRA,wanyamapori wote wanatoka kwao.
Na hapa nilipo wanaongea wao sio wanavyeo ni wamekuja hapa kufanya maisha yao.