Kusema tabia za makabira ila kuskazini mwa tanzania ni kweli kuhusu tabia zao.

Kusema tabia za makabira ila kuskazini mwa tanzania ni kweli kuhusu tabia zao.

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
6,007
Reaction score
15,216
Tumeona kwa mbowe na CHADEMA.
Wengine tutaki kabisa mazoea na mikoa ya kaskazini swala la biashara na mali.


Jambo lengine katika watu ambao wana kesi za kuua kwa ajili ya mali au kukumaliza silent ni watu wa visiwani znz.

Hawa wa znz wana uwezo wa kukufanya chochote ndio maana hata raisi na raia wa kwao sio ngeni.
 
shida unasahau ule usemi MTI WENYE MATUNDA MAZURI NDIYO HUPIGWA MAWE NA KUWA NA NGEU NYINGI🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom