Jujube (), sometimes jujuba, known by the scientific name Ziziphus jujuba and also called red date, Chinese date, and Chinese jujube, is a species in the genus Ziziphus in the buckthorn family Rhamnaceae.
Juma hili, hofu na taharuki zilitanda katika mtaa wa Riruta (Kibiria Road) jijini Nairobi baada ya nyufa kubwa za kimuundo kuibuka kwenye jengo la kisasa la ghorofa 10 linalokaliwa na takriban familia 95.
Ingawa jengo hilo halijaporomoka, mamlaka za Serikali ya Kaunti ya Nairobi na timu za...
Wenye akili wana msemo usemao "Za kuambiwa changanya na zako".
Lema anajaribu kumrudisha Mbowe chamani ili aturudishe Misri kule kwenye siasa za wanamtandao, Yani Rimoti iko msoga inaendesha Ferry,Lumumba na Ufipa Kwa wakati mmoja .
Lema una uchungu upi Kwa waliouwawa ilhali uliomba mwenyewe...
Hili swala la Benki kukata hela kwenye akaunti ya mtu bila makubaliano si sawa. Wanatakiwa watoe taarifa kwamba kuna hela hii tutakata mwezi ujao.
Mtu unaweka pesa zako benki ukijua ni sehemu salama ukipatwa na shida ukaenda huikuti. Si bora mtu angeiweka chini ya godoro tu?
Nashauri BoT...
Baada ya kumaliza ibada ya kuwaombea marehemu waliofariki October 29, kanisa sasa liguse familiar za waliopoteza maisha na majeruhi
Vijana waliouawa waliacha wake na watoto na kanisa lina shule zake ingekua vizuri kanisa likaanza kuwatafuta watoto wa waadhirika na kuwapa elimu bure kwenye...
Tanzania na Angola zimekubaliana kuunganisha mitandao yao mikubwa ya reli ili kutengeneza njia ya usafirishaji inayovuka bara la Afrika na kuunganisha Bahari ya Atlantiki na Bahari ya Hindi.
Makubaliano hayo yametangazwa na Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, pamoja na Rais wa Angola...
Kwa Ufupi Ni Kwamba:
Mtaalamu wa reverse engineering ambaye anajulikana kama Log4j anadai kuwa TV za Samsung za mwaka 2025 zinakusanya taarifa za sauti (audio telemetry) kupitia vipaza sauti vilivyojengwa ndani (built-in microphones) na vifaa vilivyounganishwa nazo (connected devices.)
Matokeo...
Madereva na Makatibu wa Wabunge hatupati posho zetu zinazostahili wakati wa shughuli za Bunge, licha ya posho hizo kuainishwa kwenye vitabu vya Bunge.
Je, fedha hizo zinaishia wapi? Tunaomba suala hili lifuatiliwe ili kuhakikisha tunapata stahiki zetu na uwajibikaji unazingatiwa.
Anonymous
Thread
bunge
dhuluma
huwa
kipindi
maana
madereva
pesa
posho
shughuli
vitabu
wabunge
wapi
zao
Nina rafiki yangu yupo Arusha ni tour guide, Aliniambia kwamba simu nyingi tunazonunua brand kubwa hazifanani na wanazotumia watalii, kwetu zimejaa Used na Refurbished. na hata wale wanaochana mabox wakidhani ni mpya Brand New, huwa ni simu used au refurbished zimewekwa kwenye mabox feki.
simu...
Unakua mjinga mmoja ni Kiongozi, anakosolewa kwa nafasi ya Uongozi wake.
Au ni mjinga huyu ni Maarufu ,Msaniii, Kiongozi ,ni MwanaCCM , Mfanyabiashara .
Inapotokea amekosolewa au kuambiwa ukweli juu ya jambo Fulani , huyu mjinga atafanya mambo yafuatayo
Ama aandike au arekodi video...
Wasalaam,
Maisha ni fumbo lisilo na majibu ya moja kwa moja, leo tunakutana na watu, tunajenga ukaribu wa mda mrefu, lakini kesho hatujui njia zetu zitatupeleka wapi. Wengine huwa sehemu ya maisha yetu kwa muda mfupi, lakini alama wanayoacha mioyoni mwetu hudumu kwa miaka.
Wakati mwingine...
Vijana wa CCM akili zao ni duni sana. Yaani wanafikiria tatizo la Tanzania ni upinzani na wanaharakati kumbe tatizo ni familia chache za kifisadi. Nyie wajinga jinga jiulizeni mnajua kuliko Dr Nchimbi au Polepole kwanini hatuko nao leo???
Nyerere hakutaka kuhusisha urais wake na familia yake, Mkapa hakutaka hata tuwajue watoto wake, Magufuli vile vile sijui hata ana mtoto wa kiume.
Sasa njoo kwa wenzetu, Karume rais mtoto wake rais, Mwinyi rais mtoto wake rais, Kikwete rais mtoto wake waziri, mke wake mbunge, Samia rais mtoto...
Habari,
Nimeleta mada hii kwenu baada ya mama wa watoto wangu kunieleza hadharani kwamba hawezi fanya ujinga huo,
Mama wa watoto ameniambia wazi kwamba kubadili majina yake kwenye vyeti vyake kufuata majina ya koo yangu ni ujinga,
Hoja yake imenikwaza kwasababu binafsi nimeona ni kama...
FUMBO LA IMANI, DNA YA KIUNGU, NA NDOTO YA DUNIA MOJA
Uchambuzi wa Kifalsafa Juu ya Paradox za Kidini na Usalama wa Ubinadamu
UTANGULIZI: Mshtuko wa Kihistoria
Unapoingia ndani kabisa ya uchunguzi wa maandiko ya kale, unakutana na jambo la kushangaza sana linaloshtua akili ya kawaida. Wakati...
Mtu akitusua vipesa vyake kama vya kina Wicknell anakuja kutupigia makelele oooh Mimi Mkulima, Niko Manyara namlima kashamba ya Mahindi.
Basi mwaka Jana nikajichanganya nikiwa Bagamoyo huku Karibu na Tanga wanapata........
Nikalima mahindi, nimechanganya na Elimu yangu na uzoefu kutokankwa...
Hii itaimarisha uzalendo na uhakika wa usalama wa Taifa letu. Na itasaidia sana kuondoa wagombea na wanasiasa wenye tamaa za madaraka, wanaozurura na tiketi za ndege mifukoni mwao. Lakini pia hii itasaidia kudhibiti utitiri wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ndani ya taifa letu...
Ishara kwamba pengine hutazaliwa tena upya (hutaingia kwenye mzunguko mwingine wa roho) Reincarnation...
1. Hukuwahi kupata watoto, na wala hukuwa na hamu nao kabisa. Hukuona sababu ya kuacha uzao nyuma yako ili kuthibitisha kuwa umetimiza yaliyokuleta duniani.
Ni kana kwamba mikosi, laana, au...
Miaka ya nyuma ukiwakuta kwenye uniform zao unapata msisimuko sana.
Ila wao wamekuwa na aibu tokea October 29.
Wengine mpaka wamefikia kuto jionesha kazi zao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.