KERO Madereva na Makatibu wa Wabunge hatupati posho zetu tunazostahili

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Madereva na Makatibu wa Wabunge hatupati posho zetu zinazostahili wakati wa shughuli za Bunge, licha ya posho hizo kuainishwa kwenye vitabu vya Bunge.

Je, fedha hizo zinaishia wapi? Tunaomba suala hili lifuatiliwe ili kuhakikisha tunapata stahiki zetu na uwajibikaji unazingatiwa.
 
utaratibu inasemaje kuhusu mfumo wa malipo? je malipo yanapita kwa mbunge au mnapaswa kulipwa directly?
 
Back
Top Bottom