pesa

  1. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Kwanini wachawi hawawezi ingia strong room ya benki wakachote pesa ila wanakufuatilia wewe unaelala na madumu ya maji, mandoo na gesi chumbani kimoja

    Waturutumbi jibuni maswali simple Kwanini mnawaonea sana watu wenye uchumi wa mandoo ndoo.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Vyuo kama UDSM tumieni fursa ya AFCON kupata pesa

    Mbali na timu ya taifa kuandaliwa kushiriki na kushinda kombe. Taasisi kama vyuo wanapaswa kubangua bongo kunufaika na events kama hizi, hata kushirikiana na sekta binafsi (PPP). Mna eneo kubwa katikati ya mji mngeweza kujenga hotel na kiwanja kikubwa cha mpira (cha kufanyia mazoezi) kwa timu...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mungu Hafanyi Biashara: Kwa Nini Amri Zake Ni Safi na Hazitaki Pesa Yako Ili Ubarikiwe

    MUNGU HAFANYI BIASHARA: KWA NINI AMRI ZAKE NI SAFI NA HAZITAKI PESA YAKO ILI UBARIKIWE Ukiingia kwenye mitandao ya kijamii au ukitembelea makanisa mengi leo, utakutana na ujumbe unaofanana: “Toa kiwango fulani cha pesa ili upokee muujiza wako,” “Nunua maji haya ya upako,” “Leta sadaka ya...
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Ukarimu au Siasa za Kura? Mbunge wa Nyaribari Chache Aibua Gumzo kwa Kugawa Pesa Taslimu Mtaani"

    Mambo yamekuwa moto katika Kaunti ya Kisii, haswa baada ya video kuibuka ikimuonyesha Mbunge wa Jimbo la Nyaribari Chache, Hon. Zaheer Jhanda, akiwa katikati ya vumbi akifanya mambo yake mtaani. Kwenye video hiyo iliyosambaa kwa kasi, Mbunge huyo anaonekana akigawa pesa taslimuhasa noti za...
  5. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Wewe kijana Acha Upuuzi wa Kupoteza Muda, Amka Upige Pesa!

    wanangu, hebu tusidanganyane hapa mtaani. Maisha ya sasa hayana pause wala rewatch, yanakwenda mbio kuliko sana. Unajikuta kijana unakomaa kutwa nzima kwenye vijiwe vya kahawa unajadili mipango ya mpira au unapoteza data kusubiri miujiza kwenye mitandao ya kijamii wakati mfuko wako unasoma zero...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Uaminifu kwa Wachaga katika siasa za upinzani umeshuka sana, viongozi wachache wanafanya wengi waonekane wanathamini fedha kuliko misingi ya harakati.

    viongozi wachache wanaponza wachaga wote kuonekana kila kitu pesa mbele Cv ya wachaga inaendelea kugalagazwa matopeni kwa haya matukio ya wanasiasa wake wa upinzani kuvigeuza vyama kuwa mitambo ya kupiga deal na kuwa madalali wa siasa.
  7. murthehelp

    JamiiForums Tanzania PESA FEKI KUOMGEZEKA KIPINDI CHA MWISHO WA MWAKA.

    Naomba niipmbe serikali ichukue hatua madhubuti juu ya kuonbezeka kwa pesa feki kipindi hiki cha kuelekea mwishoni mwa mwaka, sijui changamoto ni nini lakini naamini serikali yangu madhubuti italitendea kazi.
  8. realMamy

    JamiiForums Tanzania Sio Kila maumivu ni Hospital mengine ni Pesa tu

    Kuna siku Mwanamke anaweza kuamka na maumivu makali sana ya mwili. Wakati mwingine maumivu hayo hayahitaji dawa ya Hospital. Maumivu ya wanawake huweza kusababishwa na vitu vingi ikiwemo mawazo tu ya kupata vitu vizuri kutoka Kwa mwenzi wake. Siku ukisikia "mume wangu/Mpenzi naumwa" hatutaki...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Tufanye nini kama taifa ili vijana wetu wawe na moyo wa kujitolea (kufanya jambo hata kama hatolipwa pesa) ndani ya jamii??

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Just imagine gari yako imekwama kwenye mchanga maeneo ya Mbagala Chamazi kisha vijana watatu (3) wanakusaidia kuisukuma mpaka inafanikiwa kutoka. Baada ya hapo, badala ya vijana kusema "kaka tunakutakia safari njema" wao wanasema "kaka tuachie hata ya soda basi" Au...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Orodha ya watu ambao hawajui kusema "SIWEZI KUITATUA SHIDA YAKO", Mwisho wa siku utapotezewa pesa na tatizo litabaki au yanaongezeka mengine

    Wakati mwingine kusema "SIJUI" ni uaminifu, si udhaifu. Bora umwambie mteja ukweli Watu wengi hujikuta wanapoteza pesa na muda wao kutatua shida zao kwasababu ya mtu kukosa hekima ya kukubali hajui 1. MCHUNGAJI WA KILOKOLE 2. FUNDI GEREJI MBONGO 3. MGANGA WA KIENYEJI
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mafundi wetu hawajui kusema "SIJUI". Kila kitu wanalazimisha, mwisho wa siku unalipa pesa nyingi lakini tatizo linabaki au yanaongezeka mengine.

    Na ndio maana sikuhizi gereji za wachina zinazidi kuwa na demand kubwa, mtu anaona ni heri alipie mara tatu kuliko kwenda garage za mafundi wabongo. Mafundi wetu wana tatizo moja kubwa: hawajui kusema "SIJUI." Kila kitu wanalazimisha kukitengeneza hata kama hawana uelewa nacho. Mwisho wa siku...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Pesa za kishetani ni hizi za kawaida toka BENKI au ni pesa zinazotengenezwa kichawi? Njoo nikueleze kitu

    Mimi ni mvuvu wa kuandika. Nitaandika kwa kifupi sana lakini nadhani utanielewa. Kuna mambo matatu hapa lazima tuyajue ili ikiwezekana hayo mambo yawe keys za kupata fedha na kuishi katika uhuru wa kifedha. Jambo la 1: Pesa ni nini? Jambo la 2: shetani ni nani? Jambo la 3: Je, pesa zote halali...
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mwanzoni mwa miaka ya 2000 Kuna mtu humu aliebahatika kuangalia mkanda (tape) ambayo ilikuwa na video full za kuteswa kwa samuel doe wa Liberia

    Hii ngoma ukiiangalia lazima iku-traumatize. Jamaa walikuwa wanamkata vipande vya nyama taratibu huku akilia kwa maumivu. Mind you alikuwa raisi amepinduliwa hapo.
  14. F

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Faida mojawapo ya maandamano ya Oktoba 29, 2025; ni kukomesha uzururaji na ufujaji wa pesa za umma wa viongozi

    Habari! Twende haraka kwenye mada ya maombolezo ya mashujaa wa 0ct 29, Tangu March 2021 alipoapishwa kiongozi yule dhalimu, takwimu za safari za kuzurura huko na huko duniani Kwa gharama kubwa za Kodi zetu ni kubwa mno, Kila tulipolalamika, tulijibiwa kwamba mimi mamaenu nisipotoka mtakula...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Madereva na Makatibu wa Wabunge hatupati posho zetu tunazostahili

    Madereva na Makatibu wa Wabunge hatupati posho zetu zinazostahili wakati wa shughuli za Bunge, licha ya posho hizo kuainishwa kwenye vitabu vya Bunge. Je, fedha hizo zinaishia wapi? Tunaomba suala hili lifuatiliwe ili kuhakikisha tunapata stahiki zetu na uwajibikaji unazingatiwa.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Art of politics in Africa: bana pesa na miradi ili wananchi waone maendeleo ni fadhila sio haki yao, kisha wabaki wanyenyekevu kwa viongozi na mamlaka

    Nimeikuta hii video random mtandaoni, ukikaa na kui analyze kwa upana ni nchi nyingi za Africa jamii inayolazimika kuomba, kushukuru na kunyenyekea ili iweze kuishi Tunasikia kauli kama “Mradi wangu,” “Nitatoa pesa,” “Nitaleta maendeleo,” na “Mimi ndiye niliyesaidia.” Tunaomba kwa...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Kuna Uwezekano Mkubwa CHADEMA Wakawa Wameanza Kutengeneza Sinema za kutekwa Kenya Ili Kuichafua Serikali na kutaka Kupata pesa kutoka kwa Wafadhili

    Ndugu zangu Watanzania, CHADEMA huwa wana mambo ya kihuni huni sana na Mbinu za kijinga jinga sana . Kuna Uwezekano Mkubwa sana CHADEMA wakawa wanataka kutengeneza Sinema za Kujifanya wametekwa Kenya Ili Kuichafua Nchi yetu . Lakini pia Wanaweza kufanya hivyo ili wajipatie pesa za kukimu...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya Halmashauri ya Wilaya Handeni tumelipwa pesa ya kujikimu Tsh350,000 tu

    Vijana tulioajiriwa kuanzia mwezi wa 7 pamoja na kucheleweshewa fedha zetu za kujikimu, sasa tumelipwa kiasi cha tsh 350,000 tu kama posho ya kujikimu. Hatuna pa kusemea. Sijui posho ya kujikimu huwa wanaangalia nini ili kuamua kiasi cha kulipa.
  19. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Aisee mpate pesa mpelekeni watoto wenu zile shule zinazosimamiwa na masista huko mikoani ila kuepuka vituko kama hivi kwenye hii video

    Umasikini ni kitu cha kishetani sana aiseee.
  20. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Hiki ndicho mzungu anachoweza kukifanya na matokeo yake ya kushikika ila sisi ni 2026 mwana JF unaandika uzi wa kuomba mganga wa pesa za kimazingara

    Jamaa kafanyia facial implant, yaani kama muujiza.
Back
Top Bottom