realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 7,450
- 19,184
Kuna siku Mwanamke anaweza kuamka na maumivu makali sana ya mwili.
Wakati mwingine maumivu hayo hayahitaji dawa ya Hospital.
Maumivu ya wanawake huweza kusababishwa na vitu vingi ikiwemo mawazo tu ya kupata vitu vizuri kutoka Kwa mwenzi wake.
Siku ukisikia "mume wangu/Mpenzi naumwa" hatutaki Paracetamol. Tunataka tu tuone kama unatujali Kwa kutupatia pesa.
Pesa ni dawa ya maumivu ya haraka kuliko Paracetamol.
Kwa hiyo wanaume, mwanamke akisema anaumwa ghafla asubuhi, usianze na hospitali. Mpe hela halafu usikilizie hadi jioni.
Wenu mtiifu.