Psalm_23
JF-Expert Member
- Aug 18, 2026
- 2,760
- 5,144
Hahahhhhh mkuu kumbe na wewe unapenda bikraShida sio kupewa pesa je bikra ipo?
Hahahhhhh mkuu kumbe na wewe unapenda bikraShida sio kupewa pesa je bikra ipo?
Hahaaa kaka nilipata singo maza wa Tanga huko kichwachangu kilichemka unadhani nahami na hawa mademu walio lika sana, mungu aniepushe inshallah Yani nilijifunza jambo ukipata bikra lia galagala usiiachie.Hahahhhhh mkuu kumbe na wewe unapenda bikra
Kwa hiyo ni chuma chakavuHahaaa kaka nilipata singo maza wa Tanga huko kichwachangu kilichemka unadhani nahami na hawa mademu walio lika sana, mungu aniepushe inshallah Yani nilijifunza jambo ukipata bikra lia galagala usiiachie.
Asee kama uko bikra utakula sana hela zangu sababu wanawake wenzio walini tenda sana Yani mmelala kitanda kimoja na demu wako lakini anachati na mwanaume mwingine dahKwa hiyo ni chuma chakavu
Zipo ila ni adimu mkuu... sijui unanisaidiaje hapo mkuu.Hivi zipo kweli?
Alidai mzazi mwenzake walie zaa nae watoto wawili, huyo singo maza alinifanya nikisikia demu kesha zalishwa hata kama NAMPENDA SANA namuomna mola aniepushe japo kwa dunia ya sasa ni ngumu sana.Alikuonaje 😅😅😅😅
Duh ngoja tupambane tu tuwe hata matowashi... mkuuMimi Sina hicho kitu
Washa kuzibua, 🤣🤣Mimi Sina hicho kitu 😜
Ulianzaje kuvamia mtumbwi wa vibwengo 😅😅Alidai mzazi mwenzake walie zaa nae watoto wawili, huyo singo maza alinifanya nikisikia demu kesha zalishwa hata kama NAMPENDA SANA namuomna mola aniepushe japo kwa dunia ya sasa ni ngumu sana.
Wazee hawakukosea walipo dai kumuoa singo maza mpaka ulione kaburi la mumewe na uhakikishe ni yeye kwa documents halali🤣
Pole je aliku oa au alilala mbeleKitambo sana 😅