Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Si unajua tena mambo ya kupenda alafu utoto ulikua unani sumbua nikjiambia potelea potweUlianzaje kuvamia mtumbwi wa vibwengo 😅😅
Si unajua tena mambo ya kupenda alafu utoto ulikua unani sumbua nikjiambia potelea potweUlianzaje kuvamia mtumbwi wa vibwengo 😅😅
Sio ww peke yako, wanawake karibia wote mpo hivo maana wengi wenu mnasema tusipowapea hela mnakuwa wakavu huko chiniHuyo ni Mimi Kabisa 😅😅😅
Yani hiyo elf20 tu ndio kicheko chote hichoView attachment 3702262
Kuna siku Mwanamke anaweza kuamka na maumivu makali sana ya mwili.
Wakati mwingine maumivu hayo hayahitaji dawa ya Hospital.
Maumivu ya wanawake huweza kusababishwa na vitu vingi ikiwemo mawazo tu ya kupata vitu vizuri kutoka Kwa mwenzi wake.
Siku ukisikia "mume wangu/Mpenzi naumwa" hatutaki Paracetamol. Tunataka tu tuone kama unatujali Kwa kutupatia pesa.
View attachment 3702320
Pesa ni dawa ya maumivu ya haraka kuliko Paracetamol.
Kwa hiyo wanaume, mwanamke akisema anaumwa ghafla asubuhi, usianze na hospitali. Mpe hela halafu usikilizie hadi jioni.
Wenu mtiifu.
😂😂😂Na kijana kukwepa mtego huu utasikia akisema ndoa ni utapeli....mi sioi,
kumbe umaskini na uvivu wa kutafuta pesa.
😂😂😂😂Sikuhizi wanaume wamekua omba omba wa hela wanaleta tabia za kike Sasa huyo hata ukiwa na uchovu namna gan hela Hana ya kukupa
😂😂😂😂Mwanamke usimpompa hela hata kule chini hakulowani sawasawa mtaishia kuweka mate
NAOMBA HELA😊😊🤗Sikuhizi wanaume wamekua omba omba wa hela wanaleta tabia za kike Sasa huyo hata ukiwa na uchovu namna gan hela Hana ya kukupa
Unataka pesa ngapi ndo paloane?😂Huyo ni Mimi Kabisa 😅😅😅
Bro ahsante kwa kutuwakilisha vemaView attachment 3702262
Kuna siku Mwanamke anaweza kuamka na maumivu makali sana ya mwili.
Wakati mwingine maumivu hayo hayahitaji dawa ya Hospital.
Maumivu ya wanawake huweza kusababishwa na vitu vingi ikiwemo mawazo tu ya kupata vitu vizuri kutoka Kwa mwenzi wake.
Siku ukisikia "mume wangu/Mpenzi naumwa" hatutaki Paracetamol. Tunataka tu tuone kama unatujali Kwa kutupatia pesa.
View attachment 3702320
Pesa ni dawa ya maumivu ya haraka kuliko Paracetamol.
Kwa hiyo wanaume, mwanamke akisema anaumwa ghafla asubuhi, usianze na hospitali. Mpe hela halafu usikilizie hadi jioni.
Wenu mtiifu.
😂😂😂Mwanamke usimpompa hela hata kule chini hakulowani sawasawa mtaishia kuweka mate
Chai🤣🤣🤣labda aniulize mimi kabla ya kukupa numberWeka namba niikutumie na ya kutolea
Wanaume tukianza kurudisha mashambulizi mnaanza kutoa milio humu!Sikuhizi wanaume wamekua omba omba wa hela wanaleta tabia za kike Sasa huyo hata ukiwa na uchovu namna gan hela Hana ya kukupa
Akuulize wewe kama nani?Chai🤣🤣🤣labda aniulize mimi kabla ya kukupa number
Acha makasiriko 🤣🤣🤣🤣reaction yako imemaliza kila kituAkuulize wewe kama nani?