Sio Kila maumivu ni Hospital mengine ni Pesa tu

View attachment 3702262

Kuna siku Mwanamke anaweza kuamka na maumivu makali sana ya mwili.

Wakati mwingine maumivu hayo hayahitaji dawa ya Hospital.

Maumivu ya wanawake huweza kusababishwa na vitu vingi ikiwemo mawazo tu ya kupata vitu vizuri kutoka Kwa mwenzi wake.

Siku ukisikia "mume wangu/Mpenzi naumwa" hatutaki Paracetamol. Tunataka tu tuone kama unatujali Kwa kutupatia pesa.
View attachment 3702320

Pesa ni dawa ya maumivu ya haraka kuliko Paracetamol.

Kwa hiyo wanaume, mwanamke akisema anaumwa ghafla asubuhi, usianze na hospitali. Mpe hela halafu usikilizie hadi jioni.

Wenu mtiifu.
Yani hiyo elf20 tu ndio kicheko chote hicho
 
Dawa ni moja tu, tafuta hela zako. Kupata maumivu kwa pesa za mwingine ni dalili ya changamoto ya afya ya akili
 
View attachment 3702262

Kuna siku Mwanamke anaweza kuamka na maumivu makali sana ya mwili.

Wakati mwingine maumivu hayo hayahitaji dawa ya Hospital.

Maumivu ya wanawake huweza kusababishwa na vitu vingi ikiwemo mawazo tu ya kupata vitu vizuri kutoka Kwa mwenzi wake.

Siku ukisikia "mume wangu/Mpenzi naumwa" hatutaki Paracetamol. Tunataka tu tuone kama unatujali Kwa kutupatia pesa.
View attachment 3702320

Pesa ni dawa ya maumivu ya haraka kuliko Paracetamol.

Kwa hiyo wanaume, mwanamke akisema anaumwa ghafla asubuhi, usianze na hospitali. Mpe hela halafu usikilizie hadi jioni.

Wenu mtiifu.
Bro ahsante kwa kutuwakilisha vema
 
Back
Top Bottom