Chaguo ni moja tu, uhonge mihela akuone lofa au umnyime pesa akuone mbaya

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Wanawake hasa hawa wamama wa under 40 wanapenda pesa kuliko kawaida.
Cha ajabu wanapenda pesa za wanaume, za kwao ni chungu sana.

Mwanamke pesa aliyoipata kwa njia halali anaiheshimu sana.

Ukiingia naye kwenye mapenzi ukiilamba tu maku yake tayari anakuingiza kwenye daftari la wadaiwa sugu.

Mpaka unajiuliza kama kila siku anasema anaumwa njaa mbona hajafa kwa njaa kabla ya mahusiano yenu?

Ukimnyima wewe mbaya na katili , UKIMPA pesa ataendelea kutaka zingine, ukimpa tena na tena anakuona jinga, lofa, fala.

Bora lawama kuliko kuonekana lofa.
 
Ukiona unaombwa ombwa pesa hapo haujapendwa , wanawake Huwa wana set rules Kwa wanaume wasio wapenda , wana set rules Kwa wanaume wanao taka kuwatumia

But it's different Kwa mwanaume anaye mpenda mwanamke akishampenda mwanaume Huwa anakubali kumpa nafasi ya kutawaliwa na huyo mwanaume na hawezi ku- demand vitu /mambo ambayo mwanaume huyo Hana uwezo nayo
 
MONEY CAN BUY SEX AS FOR LOVE IS NOT FOR SELL,NO ONE HAD EVER PURCHASED A REALY TRUE LOVE.

PESA INAWEZA KUNUNUA NGONO,PESA HAIWEZI KUNUNUA UPENDO KWA SABABU UPENDO WA KWELI HAUNUNULIKI
 
Attachments

  • images - 2026-08-10T194656.412.jpeg
    images - 2026-08-10T194656.412.jpeg
    28.3 KB · Views: 12
  • images (47).png
    images (47).png
    12.4 KB · Views: 11
Ukiona unaombwa ombwa pesa hapo haujapendwa , wanawake Huwa wana set rules Kwa wanaume wasio wapenda , wana set rules Kwa wanaume wanao taka kuwatumia

But it's different Kwa mwanaume anaye mpenda mwanamke akishampenda mwanaume Huwa anakubali kumpa nafasi ya kutawaliwa na huyo mwanaume na hawezi ku- demand vitu /mambo ambayo mwanaume huyo Hana uwezo nayo
Kwa hiyo realMamy hanipendi! 😯

Yeye huniomba pesa kutwa.
 
Swala la pesa linaendelea kusigina mahusiano ya nyakati hizi.

Tutafikaje sasa!!
Tatizo ni utelezi!!
 
Wanawake hasa hawa wamama wa under 40 wanapenda pesa kuliko kawaida.
Cha ajabu wanapenda pesa za wanaume, za kwao ni chungu sana.

Mwanamke pesa aliyoipata kwa njia halali anaiheshimu sana.

Ukiingia naye kwenye mapenzi ukiilamba tu maku yake tayari anakuingiza kwenye daftari la wadaiwa sugu.

Mpaka unajiuliza kama kila siku anasema anaumwa njaa mbona hajafa kwa njaa kabla ya mahusiano yenu?

Ukimnyima wewe mbaya na katili , UKIMPA pesa ataendelea kutaka zingine, ukimpa tena na tena anakuona jinga, lofa, fala.

Bora lawama kuliko kuonekana lofa.

Mwenye shida ni wewe
 
Hayo yote ni matatizo ya kuwa na wapenzi masikini, hususan wa akili.

Yani mwanamme ukiwa na mpenzi ombaomba, wewe ndiye umetaka hilo tatizo usimlalamikie mtu.

Zaidi kuna wanaume wengi wanapenda hiyo hali, kwa sababu inawapa nguvu ya kuwafanya wanawake kuwa kama bidhaa, unawanunua kwa pesa tu.

Tatizo la watu kufanya mapenzi kuwa mtaji wa kiuchumi ni tatizo la umasikini na ujinga, watu wengi walioepuka umasikini na ujinga hawana tatizo hili.
 
Back
Top Bottom