Chaguo ni moja tu, uhonge mihela akuone lofa au umnyime pesa akuone mbaya

Hayo yote ni matatizo ya kuwa na wapenzi masikini, hususan wa akili.

Yani mwanamme ukiwa na mpenzi ombaomba, wewe ndiye umetaka hilo tatizo usimlalamikie mtu.

Zaidi kuna wanaume wengi wanapenda hiyo hali, kwa sababu inawapa nguvu ya kuwafanya wanawake kuwa kama bidhaa, unawanunua kwa pesa tu.

Tatizo la watu kufanya mapenzi kuwa mtaji wa kiuchumi ni tatizo la umasikini na ujinga, watu wengi walioepuka umasikini na ujinga hawana tatizo hili.
Vipi hapo marekani mkuu. Kuna wapenzi ombaomba kama huku?
 
Wanawake hasa hawa wamama wa under 40 wanapenda pesa kuliko kawaida.
Cha ajabu wanapenda pesa za wanaume, za kwao ni chungu sana.

Mwanamke pesa aliyoipata kwa njia halali anaiheshimu sana.

Ukiingia naye kwenye mapenzi ukiilamba tu maku yake tayari anakuingiza kwenye daftari la wadaiwa sugu.

Mpaka unajiuliza kama kila siku anasema anaumwa njaa mbona hajafa kwa njaa kabla ya mahusiano yenu?

Ukimnyima wewe mbaya na katili , UKIMPA pesa ataendelea kutaka zingine, ukimpa tena na tena anakuona jinga, lofa, fala.

Bora lawama kuliko kuonekana lofa.
Inasikitisha sana.
 
Eeeh πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Sio kwamba mnatumiana babe

Unaweza kudhani natania ila aisee siwezi tena live uwiiiiiiiii hapana πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™Œ
Tunatumianaje?
Yeye si ndo ana Vifaa vya kazi πŸ˜…πŸ˜…
Na yeye si ndo anatumia Nguvu.
Mimi ndo nachoka πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Inabidi tu anitunze.
Halafu wengine hawaombwi wanajua wajibu wao.

Shida Iko kwa hao wanaojikausha πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Ukiona Yuko hivo una machaguo mawili.
Kumuacha au kuendelea nae.
 
Tunatumianaje?
Yeye si ndo ana Vifaa vya kazi πŸ˜…πŸ˜…
Na yeye si ndo anatumia Nguvu.
Mimi ndo nachoka πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Inabidi tu anitunze.
Sheynziii sana wewe bintiπŸ€£πŸ€£πŸ™Œ
Halafu wengine hawaombwi wanajua wajibu wao.

Shida Iko kwa hao wanaojikausha πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Ukiona Yuko hivo una machaguo mawili.
Kumuacha au kuendelea nae.
Sawa my love but nimeku miss yule mchumba yupo wapi 🫣
 
Sheynziii sana wewe bintiπŸ€£πŸ€£πŸ™Œ

Sawa my love but nimeku miss yule mchumba yupo wapi 🫣
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Nimekumiss sana kipenzi changu.
Nishakuambia tuonane.

Nitakuwa na safari ya kuja huko.
Nikifika lazima tukutane.
Mchumba wako yupo.
Kajaa tele😝
 
Vipi hapo marekani mkuu. Kuna wapenzi ombaomba kama huku?
Wapo, ila Wamarekani wengi wana kiburi cha kujitegemea, na pesa ya kawaida wanayo, na pesa inapatikana tu. Mfano, mtoto anaanza kazi tangu akiwa sekondari, hakosi kazi ya kuanzia maisha. Fursa zipo nyingi.

Kuna kipindi miaka mingi nyuma nilikuwa namtokea mwanamke mmoja. Nikamtupia mistari yangu, akawa kama ananielewa. Nikawa nataka kumpanga kwa date. Akasema angefurahia kuwa nami twende dinner kwenye date, lakini hataweza kuja, kwa sababu hana pesa.

Nikamuambia, huo mbona mtihani mdogo tu, mimi ndiye kidume, nitalipia kila kitu. Akanishukuru sana, lakini akasema bado hawezi kuja kwenye date bila ya yeye kuwa na pesa zake mwenyewe.

Nikagundua kuwa huyu ana a very strong sense of independence. Na inawezekana alishakwenda kwenye date bila pesa akapata matatizo na hataki tatizo hilo lijirudie.

Nikawafikiria wanawake wa Kitanzania, wangapi wanaweza kukataa kwenda kwenye date wanayotaka kwenda kwa sababu hawana pesa yao wenyewe, hata ukiwaambia kwamba utawalipia kila kitu?

Nikajikuta najijibu, hata kama wapo, ni wachache sana. Wanawake wetu wa Kitanzania ukiwaambia utawalipia kila kitu ndiyo kwanza wanafirahia, wanakuona buzi. Wamelelewa kumuona mwanamme fursa tangu wadogo. Ndiyo maana hata katika ndoa wananunuliwa kwa mahari. Hiki ni kitu kikichokubalika kijamii kabisa kwamba mwanamme ili kuwa na mwanamke kihalali kabisa katika ndoa, inambidi alipie mahari. Kwa sababu mwanamke ni mali, ananunuliwa.

Kwa hiyo, wanawake wa Kitanzania wengi watafurahia mwanamme kusema atalipia kila kitu katika date.

Wakati kifurahia hilo ni jambo la hatari. Ni jambo linaloondoa balanve katika relationship.

Pia, mwanamke anaweza kwenda date, akaagiza vitu, mwanamme akamtoroka, mwanamke akabaki ana bill ya kulipa na hana pesa!
 
Wapo, ila Wamarekani wengi wana kiburi cha kujitegemea, na pesa ya kawaida wanayo, na pesa inaoatikana tu. Mfano, mtoto anaanza kazi tangu akiwa sekondari, hakosi kazi ya kuanzia maisha. Fursa zipo nyingi.

Kuna kipindi miaka mingi nyuma nilikuwa namtokea mwanamke mmoja. Nikamtupia mistari yangu, akawa kama ananielewa. Nikawa nataka kumpanga kwa date. Akasema angefurahia kuwa nami twende dinner kwenye date, lakini hataweza kuja, kwa sababu hana pesa.

Nikamuambia, huo mbona mtihani mdogo tu, mimi ndiye kidume, nitalipia kila kitu. Akanishukuru sana, lakini akasema bado hawezi kuja kwenye date bila ya yeye kuwa na pesa zake mwenyewe.

Nikagundua kuwa huyu ana a very strong sense of independence. Na inawezekana alishakwenda kwenye date bila pesa akapata matatizo na hataki tatizo hilo lijirudie.

Nikawafikiria wanawake wa Kitanzania, wangapi wanaweza kukataa kwenda kwenye date wanayotaka kwenda kwa sababu hawana pesa yao wenyewe, hata ukiwaambia kwamba utawalipia kila kitu?

Nikajikuta najijibu, hata kama wapo, ni wachache sana. Wanawake wetu wa Kitanzania ukiwaambia utawalipia kila kitu ndiyo kwanza wanafirahia, wanakuona buzi. Wamelelewa kumuona mwanamme fursa tangu wadogo. Ndiyo maana hata katika ndoa wananunuliwa kwa mahari. Hiki ni kitu kikichokubalika kijamii kabisa kwamba mwanamme ili kuwa na mwanamke kihalali kabisa katika ndoa, inambidi alipie mahari. Kwa sababu mwanamke ni mali, ananunuliwa.

Kwa hiyo, wanawake wa Kitanzania wengi watafurahia mwanamme kusema atalipia kila kitu katika date.

Wakati kifurahia hilo ni jambo la hatari. Ni jambo linaloondoa balanve katika relationship.

Pia, mwanamke anaweza kwenda date, akaagiza vitu, mwanamme akamtoroka, mwanamke akabaki ana bill ya kulipa na hana pesa!
Huku kwetu wanasema ni nature mwanamke kuhudumiwa na mwanaume.

Utamaduni!!
 
Back
Top Bottom