Mbali na timu ya taifa kuandaliwa kushiriki na kushinda kombe. Taasisi kama vyuo wanapaswa kubangua bongo kunufaika na events kama hizi, hata kushirikiana na sekta binafsi (PPP).
Mna eneo kubwa katikati ya mji mngeweza kujenga hotel na kiwanja kikubwa cha mpira (cha kufanyia mazoezi) kwa timu zitakazokuja AFCON watumie. Ila ndo vile mmekaa na midigrii yenu tu