Mbali na timu ya taifa kuandaliwa kushiriki na kushinda kombe. Taasisi kama vyuo wanapaswa kubangua bongo kunufaika na events kama hizi, hata kushirikiana na sekta binafsi (PPP).
Mna eneo kubwa katikati ya mji mngeweza kujenga hotel na kiwanja kikubwa cha mpira (cha kufanyia mazoezi) kwa timu...
"
Fikiria eneo lenye ofisi, shule, gereji, stendi au shughuli nyingi za biashara. Watu wanapohitaji kifungua kinywa, kinywaji baridi au kitafunwa cha haraka, wanatafuta sehemu iliyo karibu, safi, yenye huduma nzuri na bei inayolingana na uwezo wao.
Hapo ndipo biashara ya vinywaji baridi na...
BIASHARA YA VIPURI VYA MAGARI NA PIKIPIKI: FURSA YA KUJIAJIRI TANZANIA
Gari likiharibika, mmiliki anaweza kuahirisha safari, lakini hawezi kuendelea kulitumia bila kurekebisha tatizo. Hapo ndipo fursa ya biashara ya vipuri inapoanzia!
Biashara ya vipuri (Selling Spare Parts) inahusisha kununua...
JamiiClub Sasa Rasmi Play Store: Live Streaming na Fursa Mpya kwa Watengeneza Maudhui
JamiiClub, bidhaa mpya rasmi na sasa inapatikana kwenye Google Play Store. Watumiaji wanaweza kuipakua na kuanza kuitumia.
JamiiClub inalenga kutoa suluhisho mbadala katika huduma za mitandao ya kijamii...
Ajira, ujuzi wa ufundi na kuimarika kwa biashara ndogo ni miongoni mwa fursa ambazo wananchi wameanza kupata kutokana na ujenzi wa Bandari ya Mbamba Bay, wilayani Nyasa, Mkoa wa Ruvuma, ambao umefikia asilimia 78.
Baadhi ya vijana wanaoshiriki ujenzi huo wamesema wamepata kipato cha kuendesha...
Wakati baadhi ya watu wanatumia AI kuuliza maswali ya kawaida, wengine wanajifunza kuitumia kutengeneza huduma ambazo watu na biashara ziko tayari kuzilipia. Tofauti haipo kwenye teknolojia pekee, bali namna unavyoitumia.
Gemini AI inaweza kuwa nyenzo muhimu ya kuongeza ufanisi na kuanzisha...
Grace Cheserem, mwenyekiti wa kikundi cha wanawake cha Lelkolo katika Kaunti ya Baringo nchini Kenya, bado anakumbuka mavuno yake ya kwanza ya asali mwaka 2022. Katika jamii za eneo hilo, kwa muda mrefu ufugaji nyuki ulionekana kuwa ni kazi ya wanaume, mizinga ya asili iliwekwa juu kabisa kwenye...
Na. Edmund Salaho - FORT IKOMA, SERENGETI
Serikali ya Tanzania imeeleza dhamira yake ya kuimarisha utalii wa michezo nchini kupitia uzinduzi rasmi wa Uwanja wa Golf wa Hifadhi ya Taifa Serengeti, uliopo Fort Ikoma, Wilaya ya Serengeti, mkoani Mara, ikiwa na lengo la kuongeza ushindani wa...
Wakati kukiwa na madai kuhusu hali ya barabara ya Singida – Katesh – Dareda – Babati – Minjingu, hatua za matengenezo zinaendelea katika sehemu mbalimbali za barabara hii muhimu yenye urefu wa kilomita 223.5, inayounganisha mikoa ya Singida na Manyara pamoja na kurahisisha safari na usafirishaji...
📢 FURSA KWA WATAALAMU NA WANAFUNZI WA CHEMISTRY CANADA 🇨🇦
Kozi ya Professional Ethics for Chemists – 2026
Association of the Chemical Profession of Alberta (ACPA), Canada, inakaribisha wataalamu, wahitimu na watu wanaojihusisha na taaluma ya Chemistry kujisajili katika kozi ya Professional...
Hebu fikiria ni vijana wangapi wafuasi wa uwekezaji wa Sativa wanavyopiga hela za mdosi lakini baada ya siku chache wanakuwa wamemaliza mahela yote kwenye starehe.
Weee ni mkamalia, umepata mijihela yako njoo uchukue daladala yangu hii kwa bei poa.
Starting price ni 21 million, maongezi pia...
Watanzania waliopata fursa ya kutoa huduma mbalimbali katika Mkutano wa 153 wa Mabunge duniani (IPU) unaofanyika Arusha Tanzania wamesisitiza umuhimu wa kutunza amani nchini ili Tanzania iendelee kunufaika na fursa za mikutano mbalimbali ya kimataifa.
Aidha, uwepo wa amani nchini umetajwa kuwa...
Watanzania waliopata fursa ya kutoa huduma mbalimbali katika Mkutano wa 153 wa Mabunge duniani (IPU) unaofanyika Arusha Tanzania wamesisitiza umuhimu wa kutunza amani nchini ili Tanzania iendelee kunufaika na fursa za mikutano mbalimbali ya kimataifa.
Aidha, uwepo wa amani nchini umetajwa kuwa...
Mkurugenzi wa Kampuni ya Almasi, Gift Ngowi, amesema kampuni hiyo imepata fursa ya kushiriki katika utoaji wa huduma za picha, video, kurekodi na kurusha mubashara shughuli mbalimbali za Mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) uliofanyika jijini Arusha.
Ngowi amesema kampuni hiyo ilipata...
Hivi karibuni, chapa za China katika sekta ya vifaa vya kielektroniki zimeendelea kuvutia duniani kote. Kutoka roboti zenye umbo la binadamu zinazoanza kutumika katika maisha ya kawaida, na mifumo ya akili bandia nyumbani, hadi uzinduzi wa kimataifa wa simu za mkononi zinazoweza kukunjwa kutoka...
Miradi 14 mikubwa ya madini nchini inatarajiwa kufungua fursa zaidi kwa makampuni ya ndani kushiriki katika mnyororo wa thamani wa sekta ya madini. Kwa kuwa soko la ununuzi wa bidhaa na huduma katika sekta hiyo linakadiriwa kufikia takriban TSh trilioni 5.1 kwa mwaka, lengo ni kuhakikisha hadi...
Naibu Waziri,Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Reuben Kwagilwa akizungumza na wanahabari mara baada ya kufungua mjadala wa Jukwaa la Biashara ulioiadili fursa za uwekezaji na biashara kwa ajili ya uchumi endelevu wa buluu katika Bahari ya Hindi ya Magharibi, ikiwa ni siku ya pili ya...
28 September 2026
Muscat, Oman
Oman na Tanzania waangazia fursa zaidi za ushirikiano wa kiuchumi
Muscat: Mkutano wa kwanza wa mashauriano ya pande mbili kati ya Usultani wa Oman na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ulifanyika Jumatatu huko Muscat 28 September 2026.
Upande wa Oman...
👉 FURSA YA UWEKEZAJI
●Tunatafuta Mwekezaji/Mshirika wa TZS 3,000,000 Kuingiza Sokoni Platform ya AI (DAGHT DIGITAL MARKET)
👉Heshima kwenu wajumbe na wadau wa biashara na teknolojia hapa JamiiForums.
👉Ulimwengu wa biashara unabadilika kwa kasi sana, na matumizi ya Artificial Intelligence (AI)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.