Swalehe Hamiai
Member
- Aug 27, 2022
- 7
- 3
👉 FURSA YA UWEKEZAJI
●Tunatafuta Mwekezaji/Mshirika wa TZS 3,000,000 Kuingiza Sokoni Platform ya AI (DAGHT DIGITAL MARKET)
👉Heshima kwenu wajumbe na wadau wa biashara na teknolojia hapa JamiiForums.
👉Ulimwengu wa biashara unabadilika kwa kasi sana, na matumizi ya Artificial Intelligence (AI) kwenye e-commerce na marketplaces ndio mwelekeo wa sasa. Tumejenga na kukamilisha mfumo wa DAGHT DIGITAL MARKET—jukwaa la kisasa linalounganisha soko kwa kutumia teknolojia ya AI ili kurahisisha biashara na miamala.
⬇️1. HALI YA KAMPUNI NA MFUMO KWA SASA (OUR CURRENT STATUS)
Ili kuondoa shaka ya kama mradi upo kwenye karatasi tu au la:
👉Usajili wa Kampuni: Kampuni imesajiliwa kikamilifu BRELA na ina TIN Number kutoka TRA (Makao Makuu/Ofisi zetu zipo Wazo Tegeta, Dar es Salaam).
👉Applications (Android & iOS): Mfumo (App) uko READY 100% kwa ajili ya kuingia sokoni.
👉Website: Inakamilishwa wakati huu ili kwenda sambamba na uzinduzi wa Apps.
👉Lengo Kuu la Uzinduzi: Tunataka kuingia sokoni kwa wakati sahihi (Right Timing) ili kukusanya Number of Users (Base ya watumiaji), kwani tayari kuna Taasisi/Idara za Serikali na Mfuko wa Mafao ambazo zinahitaji kuona muundo wetu wa watumiaji (Active Users) ili kutupatia Funds kubwa za usambazaji.
⬇️2. MATUMIZI YA TZS 3,000,000 NA MCHANGANUO WAKE
Hatutafuti fedha za kufanyia utafiti (R&D) au kujaribia; kazi kubwa ya kutengeneza mfumo tayari imekamilika. Mchanganuo wa TZS 3M unakwenda moja kwa moja kwenye Compliance, Leseni, na Uzinduzi (GTM Strategy):
👉LATRA (Kibali/Leseni): TZS 1,200,000
👉Ulinzi wa Taarifa (Data Protection Compliance): TZS 100,000
👉Business Licence Class A: TZS 250,000
👉Ofisi (Kodi miezi 3 & Samani/Vifaa): TZS 550,000
👉Kurusha Mfumo (PlayStore & App Store Accounts): TZS 300,000
👉Marketing, Wi-Fi & Ground Activation (PAMOJA NA GROUND SPEAKERS): TZS 600,000
⬇️3. USALAMA WA MWEKEZAJI NA MFUMO WA MALIPO (100% TRANSPARENCY)
Aina hii ya uwekezaji tumeiweka iwe na Zero Risk ya utapeli au upotevu wa fedha:
👉✍️HATUTOPOKEA HELA MKONONI: Mwekezaji HATAIPA kampuni fedha mkononi wala kwenye akaunti. Yeye mwenyewe (au kwa kushirikiana nasi) atafanya malipo yote hayo yaliyotajwa hapo juu moja kwa moja kwenye mamlaka husika (LATRA, TRA, PlayStore, n.k.).
👉Kutana na Wamiliki Halisi: Utakutana na wamiliki halali wa kampuni waliopo kwenye nyaraka za BRELA, ambapo utajionea Business Plan na mikakati yote kabla ya kuweka saini yoyote.
👉Usajili BRELA (Shareholding): Baada ya kukubaliana, mwekezaji atasajiliwa rasmi BRELA kama mwanahisa (Shareholder) wa kampuni kulingana na asilimia tutakazokubaliana.
👉✍️Mbadala wa Mkopo: Kama mwekezaji hautakuwa tayari kuingia kama mwanahisa wa muda mrefu, tuko tayari pia kupokea kiasi hiki kama MKOPO WA BIASHARA wenye mkataba halali wa kisheria na marejesho yenye faida kulingana na makubaliano.
⬇️4. KWA NINI TUMEAMUA KUSHIRIKISHA MWEKEZAJI SASA?
Lengo letu kuu ni Kukimbia kwa Kasi (Move Fast), kupunguza risk ya mtaji, na kukamata fursa kabla ya wengine. Tukipata mwekezaji anayeweza kuwekeza zaidi ya TZS 3,000,000, tuko tayari kupokea na kutanua wigo wa masoko kwa kasi zaidi.
👉✍️Mikakati na siri zote za kiutendaji za DAGHT DIGITAL MARKET zote zipo ndani ya Business Plan yetu ambayo utaipitia utakapokutana na Uongozi wa Kampuni.
👉✍️JINSI YA KUWASILIANA NASI
Kama wewe ni Mwekezaji, Mfanyabiashara, au Mtu mwenye maono ya kiteknolojia na unahitaji fursa ya uhakika yenye uwazi wa 100%:
👉MAWASILIANO✍️
0624083198 & 0712920717 whatsap & Normal call& text