Responded TANROADS: Tunaendelea na matengenezo barabara ya Singida–Gehandu pamoja na Singida - Manyara

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876

Wakati kukiwa na madai kuhusu hali ya barabara ya Singida – Katesh – Dareda – Babati – Minjingu, hatua za matengenezo zinaendelea katika sehemu mbalimbali za barabara hii muhimu yenye urefu wa kilomita 223.5, inayounganisha mikoa ya Singida na Manyara pamoja na kurahisisha safari na usafirishaji kuelekea Arusha, Kilimanjaro na nchi jirani ya Kenya.
WhatsApp Image 2026-10-19 at 06.56.23m.jpeg
WhatsApp Image 2026-10-19 at 06.56.21.jpeg
WhatsApp Image 2026-10-19 at 06.56.19w.jpeg

WhatsApp Image 2026-10-19 at 06.56.19.jpeg
Kupitia TANROADS, kazi zinazotekelezwa zinajumuisha kuziba mashimo, kujenga na kusafisha mifereji ya maji ya mvua, kuweka upya tabaka la lami (resealing) na kuongeza tabaka la lami ya zege (asphalt concrete) katika maeneo husika.

Pia soma:
~ Barabara ya Babati kwenda Singida kuanzia Dareda mission ni Mungu mwenyewe tu anajua tunayopitia
~ Barabara ya Dareda (Manyara) hadi Singida haina mashimo, ina mahandaki, ina maana viongozi wetu hawaioni?
~ Barabara ya Endasak mpaka Dareda ina mashimo mengi sana, ni hatari kwa watumiaji

Matengenezo haya yanahusisha sehemu ya Singida–Gehandu (km 54.96) katika Mkoa wa Singida na Gehandu – Katesh – Dareda – Babati – Minjingu (km 168.54) katika Mkoa wa Manyara.
WhatsApp Image 2026-10-19 at 06.56.183.jpeg
WhatsApp Image 2026-10-19 at 06.56.17d.jpeg
Lengo ni kuboresha hali ya barabara, kuimarisha usalama wa watumiaji, kurahisisha usafirishaji wa mazao na bidhaa, na kufungua fursa zaidi za biashara na shughuli za kiuchumi.

Maendeleo ya barabara yanaonekana katika hatua zinazochukuliwa. Kazi inaendelea, na kipaumbele ni kuboresha mawasiliano na huduma kwa wananchi.

Pia soma ~ Barabara ya Singida-Babati-Arusha ni mbaya ina mashimo ya kutosha, wahusika hili mnaliona tunaomba mlishughulikie hali ni mbaya
 
Wakati kukiwa na madai kuhusu hali ya barabara ya Singida – Katesh – Dareda – Babati – Minjingu, hatua za matengenezo zinaendelea katika sehemu mbalimbali za barabara hii muhimu yenye urefu wa kilomita 223.5, inayounganisha mikoa ya Singida na Manyara pamoja na kurahisisha safari na usafirishaji kuelekea Arusha, Kilimanjaro na nchi jirani ya Kenya.
Kupitia TANROADS, kazi zinazotekelezwa zinajumuisha kuziba mashimo, kujenga na kusafisha mifereji ya maji ya mvua, kuweka upya tabaka la lami (resealing) na kuongeza tabaka la lami ya zege (asphalt concrete) katika maeneo husika.

Pia soma:
~ Barabara ya Babati kwenda Singida kuanzia Dareda mission ni Mungu mwenyewe tu anajua tunayopitia
~ Barabara ya Dareda (Manyara) hadi Singida haina mashimo, ina mahandaki, ina maana viongozi wetu hawaioni?
~ Barabara ya Endasak mpaka Dareda ina mashimo mengi sana, ni hatari kwa watumiaji

Matengenezo haya yanahusisha sehemu ya Singida–Gehandu (km 54.96) katika Mkoa wa Singida na Gehandu – Katesh – Dareda – Babati – Minjingu (km 168.54) katika Mkoa wa Manyara.
Lengo ni kuboresha hali ya barabara, kuimarisha usalama wa watumiaji, kurahisisha usafirishaji wa mazao na bidhaa, na kufungua fursa zaidi za biashara na shughuli za kiuchumi.

Maendeleo ya barabara yanaonekana katika hatua zinazochukuliwa. Kazi inaendelea, na kipaumbele ni kuboresha mawasiliano na huduma kwa wananchi.

Pia soma ~ Barabara ya Singida-Babati-Arusha ni mbaya ina mashimo ya kutosha, wahusika hili mnaliona tunaomba mlishughulikie hali ni mbaya
Mnaweka viraka juu ya viraka..nimepita hii barabara Jmosi kwa kweli ni shida.
 
Mavivu na hayana aibu haya

Miaka 4 imechukua wao kufanyia kaiz issue hii
Shame on you
 
Bila ziara za kushtukiza hamna kuboresha mawasiliano na huduma kwa wananchi.
ZIara wapi.... iyo njia Mwigulu anazijua vizuri... wao walipita wapi kwenyw kampeni zao?

Iyo inaitwa view once, wakishapita hawarudi miaka sio shida zao
 
Huu upiumbavu ndio umeifanya barabara ya Mbeya kuna kipande kina viraka utadhani mgonjwa wa upele.....mwakani tena wanaweka viraka.....mwisho barabara nzima inakua imejaa viraka
Yes na hata huwa havidumu hii teknologia ilitumika barabara ya Survey UDSM mwaka 2023 nimeisahau jina tu inakauka haraka sana ila haichukui muda shimo linarudi palepale
 
Nimepita tarehe 20/10/2026 hakuna ukarabati unaofanyika. Meneja wa Tanroad ajitafakari
 
Wakati kukiwa na madai kuhusu hali ya barabara ya Singida – Katesh – Dareda – Babati – Minjingu, hatua za matengenezo zinaendelea katika sehemu mbalimbali za barabara hii muhimu yenye urefu wa kilomita 223.5, inayounganisha mikoa ya Singida na Manyara pamoja na kurahisisha safari na usafirishaji kuelekea Arusha, Kilimanjaro na nchi jirani ya Kenya.
Kupitia TANROADS, kazi zinazotekelezwa zinajumuisha kuziba mashimo, kujenga na kusafisha mifereji ya maji ya mvua, kuweka upya tabaka la lami (resealing) na kuongeza tabaka la lami ya zege (asphalt concrete) katika maeneo husika.

Pia soma:
~ Barabara ya Babati kwenda Singida kuanzia Dareda mission ni Mungu mwenyewe tu anajua tunayopitia
~ Barabara ya Dareda (Manyara) hadi Singida haina mashimo, ina mahandaki, ina maana viongozi wetu hawaioni?
~ Barabara ya Endasak mpaka Dareda ina mashimo mengi sana, ni hatari kwa watumiaji

Matengenezo haya yanahusisha sehemu ya Singida–Gehandu (km 54.96) katika Mkoa wa Singida na Gehandu – Katesh – Dareda – Babati – Minjingu (km 168.54) katika Mkoa wa Manyara.
Lengo ni kuboresha hali ya barabara, kuimarisha usalama wa watumiaji, kurahisisha usafirishaji wa mazao na bidhaa, na kufungua fursa zaidi za biashara na shughuli za kiuchumi.

Maendeleo ya barabara yanaonekana katika hatua zinazochukuliwa. Kazi inaendelea, na kipaumbele ni kuboresha mawasiliano na huduma kwa wananchi.

Pia soma ~ Barabara ya Singida-Babati-Arusha ni mbaya ina mashimo ya kutosha, wahusika hili mnaliona tunaomba mlishughulikie hali ni mbaya
mfuko wa road fund vp una hali gani maana sio kwa ubovu wa barabara uliopo maeneo meng nchini kwa sasa?
 
Back
Top Bottom