barabara

A barabara or barabora (Russian); ulax̂, ulaagamax, ulaq, or ulas (plural) (Aleut); and ciqlluaq (Alutiiq ~ Sugpiaq) were the traditional, main or communal dwelling used by the Alutiiq people and Aleuts, the indigenous people of the Aleutian Islands. They lay partially underground like an earth lodge or pit-house, and most of the house was excavated from the dirt so as to withstand the high forces of wind in the Aleutian chain of islands. Barabaras are no longer used, as present-day Aleuts live in modern houses and apartment buildings.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Leo kuna nini, Mbona Barabara ya Morogoro Road hasa maeneo ya kimara mpaka ubungo kuna magari makubwa ya Polisi pamoja na polisi wengi wenye silaha?

    Toka majira ya asubuhi ,nimeshuhudia uwepo wa askari polisi wengi wenye silaha kwenye hii barabara! Je kuna shida yoyote?
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANROADS yafungua njia 106 za pembezoni mwa mradi wa ujenzi wa barabara ya njia nne Nsalaga - Ifisi

    Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Mbeya umeanza kutekeleza maelekezo ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, kwa kufungua maeneo na njia 106 za pembezoni mwa mradi wa ujenzi wa barabara ya njia nne kutoka Nsalaga hadi Ifisi, hatua inayolenga...
  3. covid 19

    JamiiForums Tanzania Ajali za mara kwa mara barabara ya Kimara–Kibaha, Serikali iweke Speed Cameras na kudhibiti mienendo ya malori na mabasi kabla maisha zaidi hayajapote

    Natoa wito kwa Wizara ya Ujenzi, TANROADS, Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani na mamlaka nyingine zinazohusika kuchukua hatua za haraka kuimarisha usalama wa watumiaji wa barabara ya Kimara–Kibaha. Licha ya barabara hii kuwa ya kisasa yenye njia sita, hali ya usalama kwa watumiaji...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyabiashara wa Maua, Mbuyuni- Dar tumepewa siku 3 kuondoka ikielezwa kuwa haitakiwi fremu kuwa kando ya barabara

    Ndugu wanajukwaa, Naomba kutumia jukwaa hili kuwasilisha malalamiko na kuomba msaada wa kufikisha kilio cha wafanyabiashara wanaoendesha shughuli zao katika fremu za biashara za maua zilizopo eneo la Mbuyuni barabara ya Ali Hassan Mwinyi, Dar es Salaam. Mwaka jana 2025, tulikutana na...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wadau kwanini hatuna mijadara ya kujenga mfano Barabara zetu na huduma za umma , bungebubu ufisadi, na makakama iliyopoteza uhuru wake

    Habari ya kuyimuka Wadau, Humu ndani ya jukwaa mwanzoni tulikuwa na mijadala mizuri na yenye tija Kwa nchi yetu kwasasa haionekani. Kuna changamoto nyingi kwenye maneo ya miundo mbinu yetu hasa Barabara. Barabara zetu nyingi ni mbovu zina mashimo yayosababisha uharibifu WA magari na wakati...
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Wameshindwa kukusanya kodi ili watengeneze barabara, sasa wanampango wa kuanzisha tozo za barabara.

    Tozo ya barabara.why?👇
  7. Semeni Bugoke

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa Ikwiriri (Rufiji) - Robo Hekari (100x100), Karibu na Barabara Kuu ya Lindi/Mtwara

    Wakuu, ninauza kiwanja changu mwenyewe (mimi ni mmiliki, hakuna dalali) kilichopo mkoani Pwani, Wilaya ya Rufiji. Eneo linafaa sana kwa makazi au uwekezaji wa kibiashara kwa sababu ya ukaribu wake na barabara kuu na stendi. Sifa na Maelezo ya Kiwanja: Mahali kilipo: Mkoa wa Pwani, Wilaya ya...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Atoa Shilingi Bilioni 31.4 Kukarabati Barabara Ya Gehandu – Babati

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa Shilingi bilioni 31.41 kwa ajili ya utekelezaji wa mpango wa matengenezo ya kilomita 66.5 za Barabara Kuu ya Gehandu–Babati, yenye urefu wa jumla wa kilomita 105.5. Barabara hiyo ni kiungo muhimu cha usafiri kati ya Mkoa wa...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kadogosa amwambia Mkandarasi wa Barabara ya Kahama–Bulyanhulu JCT - Kakola kuwa hataongezewa muda, mradi ukamilike Desemba 2026

    Waziri wa Ujenzi, Masanja Kadogosa, amemtaka mkandarasi anayejenga barabara ya Kahama–Bulyanhulu JCT–Kakola yenye urefu wa kilomita 73, kuhakikisha anakamilisha ujenzi wa barabara hiyo kwa kiwango cha lami ifikapo Desemba 2026, kama ilivyoainishwa katika mkataba wa mradi huo. Kadogosa ametoa...
  10. UTPC

    JamiiForums Tanzania Vumbi linalotokana na Ujenzi wa Barabara ya Nsalaga - Ifisi, Mbeya limekuwa na athari kubwa kwa Watu

    Wakati ujenzi wa barabara ya njia nne kutoka Nsalaga hadi Ifisi jijini Mbeya ukiendelea, wananchi wanaoishi na kufanya shughuli zao kando kando ya barabara hiyo wanaendelea kukabiliwa na vumbi, foleni na changamoto nyingine za usafiri. Sehemu ya kwanza ~ Miradi ya Barabara kutokamilika...
  11. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Kujengwe barabara ya njia sita kuanzia chalinze mpaka kibiti na kisarawe

    Ukitaka kwenda kibiti na au mikoa ya kusini na unatokea morogoro au mikoa ya kaskazini na unataka kwenda lindi au mtwara au rufiji basi itakulazimu kwenda mpaka dsm ndo uende mikoa ya kusini rufiji, lindi na mtwara Hii inconvinience ni kwa sababu kuanzia chalinze mpaka kibiti hakuna barabara ya...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Barabara zilizojengwa na China magharibi mwa Kenya zaleta mageuzi kwenye eneo hilo la kilimo

    Kwa miongo kadhaa, maisha katika Kaunti ya Uasin Gishu, kitovu cha kilimo magharibi mwa Kenya, yalitambuliwa kwa maziwa na mahindi, na wakati mashamba yake yakilisha taifa la Kenya, wakulima wa huko walikabiliwa na changamoto ya kila mara ya kusubiri malipo ya kupakia mahindi, na hii ilitokana...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mtaro uliopo Arusha - Soko Kuu Barabara ya Mnazi Mmoja ni kero na hatarishi kwa afya

    Huu mtaro upo Arusha maeneo ya Soko Kuu Barabara ya Mnazi Mmoja ni kero sana na hatarishi, maji yametuama hayatembei kabisa. Hali ni mbaya sana na uongozi upo kimya paka vinyesi, maana hiyo ni chemba zinafunguliwa wakati wa usiku na mtaro umeziba maji yanajaa barabarani yenye vinyesi.
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ulyankulu - Tabora panakua lakini huduma ya barabara na maji bado ni changamoto

    UJUMBE KWA VIONGOZI WETU — ULYANKULU INAHITAJI MAENDELEO YA KWELI Kwa heshima kubwa kwa viongozi wetu wa Serikali, Mkoa wa Tabora na Wilaya ya Uyui, tunaomba suala la barabara ya Ulyankulu na upatikanaji wa maji lipewe kipaumbele. Ulyankulu inaendelea kukua na kuwa eneo muhimu kwa shughuli za...
  15. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Hongereni Tanga, Bandari imefunguka. Ila kwa haya maroli, TANROAD fanyeni kuiandaa hii barabara Segera - TA.

    Hii barabara ya Segera - TA ilikua calm, rahisi kuendesha, maroli ya hapa na pale, ila sahivi, tofauti yake na ya Morogoro-Dar ni idadi ya vilaka tu. Wahusika wasiposhtuka mapema, itakua mbovu haijawahi kutokea. Ngoja tuipe mwaka.
  16. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania SUMA JKT watengeneze drone, missile, bunduki, Armoured vehicles n.k na sio kujenga barabara au majengo

    Binafsi naona sio sawa kwa SUMA JKT kujenga barabara, majengo na nyinginezo kama hizo Kuanza qualification za kwenda jeshi iwe ni JKT au JWTZ ziwe ni form six aliyefaulu kwa dv 1 au 2 Naamini SUMA JKT wajikite kwenye kutengeneza vifaa vya kijeshi kuanzia kwenye tafiti research mpaka kwenye...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Barabara ya kibaha chalinze haitapitika kabisa miaka mitatu ijayo serikali imelala usingizi wa pono!!

    Siku ukipata nafasi kwa wale mliomikoa jirani hebu nenda katulie pale mlandizi alafu uangalie trend ya gari zinazotumia Ile barabara. Idadi ya gari ilishaizidi barabara kwa mbali sana kwa jinsi ambayo ilipaswa njia mbadala iwe inakamilishwa sasa hivi. Kwa bahati mbaya hata kuanza haijaanza...
  18. figganigga

    JamiiForums Tanzania SINOHYDRO wa Barabara za Iringa na CHICO wa Barabara za Mbeya ni Kampuni dada na hamsemi?

    Sinohydro Corporation Limited na China Henan International Cooperation Group Co., Ltd(CHICO) ni Kampuni dada. Yaani zote zinamilikiwa na Serikali ya china. Zote zinafanya kazi chini ya SASAC taasisi ya Baraza la Serikali la China inayosimamia mali za serikali katika makampuni husika. Na hizi...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded TANROADS: Tunaendelea na matengenezo barabara ya Singida–Gehandu pamoja na Singida - Manyara

    Wakati kukiwa na madai kuhusu hali ya barabara ya Singida – Katesh – Dareda – Babati – Minjingu, hatua za matengenezo zinaendelea katika sehemu mbalimbali za barabara hii muhimu yenye urefu wa kilomita 223.5, inayounganisha mikoa ya Singida na Manyara pamoja na kurahisisha safari na usafirishaji...
  20. M

    JamiiForums Tanzania KERO Bodaboda na bajaji standi mpya ya Kigoma zinatumia njia za waenda kwa miguu, jambo hatari hili

    Bodaboda na bajaji katika eneo la Stendi Mpya ya Kigoma zimekuwa zikitumia njia za waenda kwa miguu kukwepa taa za barabarani, hali inayosababisha uharibifu wa taa za pembeni mwa barabara na wakati mwingine ajali. Watembea kwa miguu tunasikitishwa na tabia hiyo, tunakitaka madereva wa bodaboda...
Back
Top Bottom