SUMA JKT watengeneze drone, missile, bunduki, Armoured vehicles n.k na sio kujenga barabara au majengo

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Binafsi naona sio sawa kwa SUMA JKT kujenga barabara, majengo na nyinginezo kama hizo

Kuanza qualification za kwenda jeshi iwe ni JKT au JWTZ ziwe ni form six aliyefaulu kwa dv 1 au 2

Naamini SUMA JKT wajikite kwenye kutengeneza vifaa vya kijeshi kuanzia kwenye tafiti research mpaka kwenye manufacturing
Kama
  1. Drone
  2. GPS tracker
  3. Armoured vehicle
  4. Bunduki
  5. Missile
  6. Interceptor
  7. Satellite
  8. Na nyingine nyingi
  9. Iron dome

Vifaa vingine watazalisha wao direct vingine watazalisha kwa ushirikiano na kampuni zinazozalisha hizo silaha

Mfano sahivi kama tugekuwa tunazalisha hizo silaaha basi kama nchi tungekuwa tunauza sana wakati huu dunia ikiwa uwanja wa vurugu na tungeingiza mapato mengi sana

Silaha na vifaa vya kijeshi zinafedha sana na zitaendelea kuwa na fedha sababu haijawahitokea dunia ikapita miaka 10 bila kuwa na vita sehemu yeyote ile

NIKIEA RAIS SUMA JKT HAWATAFANYA KAZI ZA UJENZI WA MAJENGO NA BARABARA
 
JESHI LETU HALINA KAZI YOYOTE ZAIDI YA KUPASUA MATOFALI NA KUISAIDIA CCM.

Ndio maana nikikwambia akili yako ni ndogo sana.
JWTZ, JKT
HAWA WATU WANGEWEKEZA NGUVU ZAIDI KWENYE.

1. Kilimo kulisha Dunia.
2. Ujenzi wa Maghala ya kuhifadhi vyakula.
3. Ujenzi wa Barabara kusafirisha hayo mazao.
4.Ujenzi wa Nyumba.
5. Kutengeneza viatu Maduka kila Wilaya.Nk

WAPUMBAVU HAWANA TEKNOLOJIA YA KUTENGENEZA HATA GOBOLE.
 
Jeshi na kilimo wapi na wapi hizo sio kazi zao za msingi jeshi linahusika na ulinzi
 
Acha Ujinga
Mimi ningelikuwa na mamlaka ningeligeuza Jeshi la ulinzi kuwa jeshi la Kilimo.

Moja kati ya Kazi za Msingi za Jeshi ni Kulinda Mipaka ya nchi.

1. Wahamoaji haramu wanapita kila siku kuja tanzania na kwenda South.

2. Tunaona kwimbi la Madawa ya Kulevya unga nk
Ukiingia ndani ya nchi na kuangamiza vijana.

3. Utekaji na Mauji yanayoendelea.

HII NCHI HAINA JESHI DOGO.
INAMUUNGANIKO WA WAHUNI.
 
Acha Ujinga
Mimi ningelikuwa na mamlaka ningeligeuza Jeshi la ulinzi kuwa jeshi la Kilimo.

Moja kati ya Kazi za Msingi za Jeshi ni Kulinda Mipaka ya nchi.

1. Wahamoaji haramu wanapita kila siku kuja tanzania na kwenda South.

2. Tunaona kwimbi la Madawa ya Kulevya unga nk
Ukiingia ndani ya nchi.

3. Utekaji na Mauji yanayoendelea.

HII NCHI HAINA JESHI DOGO.
INAMUUNGANIKO WA WAPUSUA MAWE.
Jeshi kazi yao msingi sio kilimo ni ulinzi au na hili linahitaji ligi
Hakunaga kinaitwa jeshi la kilimo hala duniani
 
Wenzenu wanatengeneza makalasha ya kusaga kokoto uko msoga, kunduchi na mikoani. Pia kwa kumbukumbu zangu vyombo vyote vya ulinzi na usalama ni CCM.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Hivi unadhani nguvu kazi kubwa ya jeshi inayohitajika ni akili hata huko dunia ya 3 wewe ndugu?

Unafahamu hadi leo hii darasa la 7 anakuwa mwanajeshi unajua kwanini?

Acha kabisa kuwa mjuaji achaa
Huwezi kutaka kutengeneza missile, drone, satellite na GPS tracker kwa kutegemea watu wa darasa la 7 au form four failure
 
Binafsi naona sio sawa kwa SUMA JKT kujenga barabara, majengo na nyinginezo kama hizo

Kuanza qualification za kwenda jeshi iwe ni JKT au JWTZ ziwe ni form six aliyefaulu kwa dv 1 au 2

Naamini SUMA JKT wajikite kwenye kutengeneza vifaa vya kijeshi kuanzia kwenye tafiti research mpaka kwenye manufacturing
Kama
  1. Drone
  2. GPS tracker
  3. Armoured vehicle
  4. Bunduki
  5. Missile
  6. Interceptor
  7. Satellite
  8. Na nyingine nyingi
  9. Iron dome

Vifaa vingine watazalisha wao direct vingine watazalisha kwa ushirikiano na kampuni zinazozalisha hizo silaha

Mfano sahivi kama tugekuwa tunazalisha hizo silaaha basi kama nchi tungekuwa tunauza sana wakati huu dunia ikiwa uwanja wa vurugu na tungeingiza mapato mengi sana

Silaha na vifaa vya kijeshi zinafedha sana na zitaendelea kuwa na fedha sababu haijawahitokea dunia ikapita miaka 10 bila kuwa na vita sehemu yeyote ile
Acha basi utani Braza..😃😃
 
Hivi unadhani nguvu kazi kubwa ya jeshi inayohitajika ni akili hata huko dunia ya 3 wewe ndugu?

Unafahamu hadi leo hii darasa la 7 anakuwa mwanajeshi unajua kwanini?

Acha kabisa kuwa mjuaji achaa
Dunia ya sasa imebadilika buda Vita havitaki nguvu ya kupasua matofali tena kama zamani bali akili kumkichwa sasa huyo darasa la saba au form4 failure atakusaidia nini sembuse Kulenga range tu inabidi uwe na elimu ya utulivu
 
Back
Top Bottom