Binafsi naona sio sawa kwa SUMA JKT kujenga barabara, majengo na nyinginezo kama hizo
Kuanza qualification za kwenda jeshi iwe ni JKT au JWTZ ziwe ni form six aliyefaulu kwa dv 1 au 2
Naamini SUMA JKT wajikite kwenye kutengeneza vifaa vya kijeshi kuanzia kwenye tafiti research mpaka kwenye manufacturing
Kama
- Drone
- GPS tracker
- Armoured vehicle
- Bunduki
- Missile
- Interceptor
- Satellite
- Na nyingine nyingi
- Iron dome
Vifaa vingine watazalisha wao direct vingine watazalisha kwa ushirikiano na kampuni zinazozalisha hizo silaha
Mfano sahivi kama tugekuwa tunazalisha hizo silaaha basi kama nchi tungekuwa tunauza sana wakati huu dunia ikiwa uwanja wa vurugu na tungeingiza mapato mengi sana
Silaha na vifaa vya kijeshi zinafedha sana na zitaendelea kuwa na fedha sababu haijawahitokea dunia ikapita miaka 10 bila kuwa na vita sehemu yeyote ile
NIKIEA RAIS SUMA JKT HAWATAFANYA KAZI ZA UJENZI WA MAJENGO NA BARABARA