mamamamamama
New Member
- Apr 29, 2026
- 1
- 0
Bodaboda na bajaji katika eneo la Stendi Mpya ya Kigoma zimekuwa zikitumia njia za waenda kwa miguu kukwepa taa za barabarani, hali inayosababisha uharibifu wa taa za pembeni mwa barabara na wakati mwingine ajali.
Watembea kwa miguu tunasikitishwa na tabia hiyo, tunakitaka madereva wa bodaboda na bajaji kuacha kutumia njia hizo na kufuata sheria za barabarani ili kulinda usalama wa watumiaji wote wa barabara.