kero

  1. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania BARUTI ZINAZOPIGWA NYAMAZOBE-NYEGEZI NI KERO KWA WANANCHI

    Ndugu zangu kwa watu wanaiishi mitaa ya Nyamazobe center kuna milipuko mikali inasikika kila siku, milipuko hiii inafanyika kwenye makazi ya watu, tunaomba mamlaka zitusaidie watakuja kutuua kwa presha
  2. M

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya Usafiri wa Mwendokasi: Nauli ya Tsh 2,000 Mbezi - Gerezani/Muhimbili ni kwa Ajili ya Wanyonge au Matajiri?

    Wakuu salama, Kuna jambo linaumiza sana kiuchumi na kijamii kuhusu usafiri huu wa mabasi ya Mwendokasi (BRT) hapa jijini Dar es Salaam. Naomba kuweka hili mezani ili labda mamlaka husika ziweze kutuangazia sisi wananchi wa hali ya chini. Hivi sasa, nauli kutoka Mbezi hadi Gerezani au Mbezi...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Askari wa Barabarani Arusha wanatunyanyasa sisi madereva Bajaj

    Mimi ni mkazi wa Arusha. Kero yangu inahusu baadhi ya askari wa usalama barabarani (trafiki) ambao wanatunyanyasa sisi madereva wa bajaji. Kuna maeneo ya Arusha mjini ambayo haturuhusiwi kuingia, licha ya kuwa maeneo hayo ndiyo yenye fursa nyingi za kupata riziki. Tukiingia maeneo hayo na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania KERO UDART, kama kuhudumia wasafiri wa mabasi ya mwendokasi kumewashinda basi wapeni MOFAT waendeshe routes zote

    Habari! Kama umekuwa ni mtumiaji wa mabasi ya mwendokasi yanayoendeshwa n kampuni hizi mbiili za MOFAT na UDART utakuwa umegundua utofauti mkubwa sana wa huduma. Kawaida mabasi ya MOFAT (yenye rangi ya kijani) huwa hayapaki kituoni ilihali abiria wamejaa wakisubiri usafiri ila kwenye hii...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakala wa NMB UDOM ameninyima huduma kwa sababu sina kadi ya NMB ya chuo

    Wakala wa NMB hapa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ameninyima huduma kwa sababu sina kadi ya NMB ya chuo. Je, ni sheria gani ya nchi inayosema kwamba ni lazima mtu awe na kadi ya NMB ya chuo ndipo aweze kupata huduma za kifedha na kusikilizwa ipasavyo? Leo, mawakala wa NMB waliokuja kutoa huduma...
  6. D

    JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya Vyuo vya Afya vinachelewesha matokeo ya Special na Supplementary

    Baadhi ya vyuo vya afya nchini vilikamilisha mitihani ya special na supplementary wiki mbili zilizopita, lakini hadi sasa havijatoa matokeo hayo. Kuchelewa kwa matokeo kunasababisha ucheleweshaji wa kuyawasilisha kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), hali inayoweza...
  7. T

    JamiiForums Tanzania TANESCO KERO

    KERO...Mpaka Leo sijapata contorl number wiki 2 zimepita.. surveyor tayari kafika nampigia anasema hukuna mtandao .. napiga huduma kwa wateja 180 wameniambie niende Office... mnatengeneza ukırıtımba mazıngıra ya RUSHWA... kuna umuhimu gani mm kwenda office wakati namba ya huduma kwa wateja ipo...
  8. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO acheni kukosa ustaarabu: mkisema umeme utakatwa saa 12 asubuhi na kurudi saa 12 jioni, basi rudisheni umeme saa 12 jioni sio saa mbili usiku!

    Tanzania tuna silka moja ya kuongea uongo hasa linapokuja suala la wakati. Mtu anakuambia nitafika hapo baada ya dakika kumi halafu anafika baada ya saa nzima. Mkutano unaotakiwa kuanza saa tatu asubuhi unaanza saa tano asubuhi. Kiongozi alisemwa atafika saa nne asubuhi anafika saa sita mchana...
  9. T

    JamiiForums Tanzania KERO: WAKAZI WA MBALIZI HATUNA MAJI: TUNAOMBA UFAFUNUZI KUTOKA IDARA HUSIKA.

    Habari wana JF, Bila kupoteza muda sisi wakazi wa mbalizi centre mitaa yake hadi huku Ifisi tuna changamoto kubwa sana ya maji! Kabla ya ziara ya Mheshimiwa Makamo w Raisi tulikaa takribani mwezi mzima hakuna hata tone la maji kutoka Idara ya Maji. Siku moja kabla ya Ujio wa Mheshimiwa maji...
  10. J

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko Kuhusu Makosa katika Transcript ya Mhitimu wa Chuo cha Afya

    Mimi ni mmoja wa wahitimu wa chuo cha afya chini ya NACTE mwaka 2019. Kero yangu inahusu transcript yangu ambayo niliipata baada ya kupitia usumbufu mkubwa. Nilipoipokea, sikuikagua kwa makini, lakini baadaye nilipogundua makosa, nilibaini kuwa somo ambalo nilipata alama ya A lilikuwa...
  11. E

    JamiiForums Tanzania KERO: Wanafunzi wa Masters UDSM zaidi 80 hatarini kukosa mahafali ya December 2026

    1. Sisi Wanafunzi wa Masters Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Main Campus. Tunacheleweshwa kupewa matokeo yetu ya Dissertation ili tuweze ku-graduate Mahafali ya mwezi Disemba 2026. 2. Mfano Wanafunzi wa Shule kuu ya Elimu Chuoni hatujapewa matokeo yetu toka tuwasilishe dissertation mwezi...
  12. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Hongera Mkuu wa Mkoa Mbeya: Bajaji zidhibitiwe Mbeya, ni kero kubwa

    Pamoja na mandhari isiyoridhisha katikati ya mkoa wa Mbeya, bajaji zimekuwa zinaonyesha uozo mkubwa zaidi kiutawala Jiji la Mbeya, kwa upande wa usafiri wa umma. Bajaji zimeonyesha lawlessness, zinakupita kulia na kushoto na kwa hakika ni kero kubwa. Tukumbuke, toka Uyole hadi Mafiati, na...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mtaro uliopo Arusha - Soko Kuu Barabara ya Mnazi Mmoja ni kero na hatarishi kwa afya

    Huu mtaro upo Arusha maeneo ya Soko Kuu Barabara ya Mnazi Mmoja ni kero sana na hatarishi, maji yametuama hayatembei kabisa. Hali ni mbaya sana na uongozi upo kimya paka vinyesi, maana hiyo ni chemba zinafunguliwa wakati wa usiku na mtaro umeziba maji yanajaa barabarani yenye vinyesi.
  14. M

    JamiiForums Tanzania KERO Wanaokamata Bodaboda na kuwatoza faini Mkuyuni Mwanza ni kweli Askari Polisi wasio na sare au matapeli?

    Katika Jiji la Mwanza eneo la Mkuyuni karibu na Nyegezi Kona, kuna kundi la Watu wanajitambulisha kuwa ni Askari Polisi wakiwa hawana sare wala vitambulisho wanakamata Pikipiki (bodaboda) zisizokuwa na Namba (plate Number) na kuwapeleka wahusika ofisini kwao. Wanazifunga kwa cheni na kufuli...
  15. econonist

    JamiiForums Tanzania Hivi haiwezekani viongozi wakashughulika na kero bila microphone?

    Kwa Sasa Tanzania imekuwa ni fashion kwamba ili Kiongozi aonekane anafanya kazi vizuri, ni lazima atumie microphone anapotembelea au kukagua miradi ya serikali. Na mara nyingi kwenye hizo microphone Kuna maspeaker ya kuwafanya wananchi wasikie Kiongozi anaongea nini. Mara nyingi wananchi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania KERO Bodaboda na bajaji standi mpya ya Kigoma zinatumia njia za waenda kwa miguu, jambo hatari hili

    Bodaboda na bajaji katika eneo la Stendi Mpya ya Kigoma zimekuwa zikitumia njia za waenda kwa miguu kukwepa taa za barabarani, hali inayosababisha uharibifu wa taa za pembeni mwa barabara na wakati mwingine ajali. Watembea kwa miguu tunasikitishwa na tabia hiyo, tunakitaka madereva wa bodaboda...
  17. kavulata

    JamiiForums Tanzania Chadema copy and paste hii badala ya kuorodhesha kero tu.

    Nimewapenda sana hawa jamaa hata sijui kama wanadanganya au la. Vyama vyetu vya siasa hapa tz ni kama vyama vinavyoikumbusha CCM na serikali kitu gani wamesahau kufanya wakifanye. Hebu sikiliza njia mbadala za kutatua shida za wakenya. https://youtu.be/xbdGgaVIK3k?si=4OqsHd7X7yeJjdce
  18. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Bodaboda ni kero na kiwanda cha vifo kwa vijana

    Kwa sàsa hivi vifo vya vijana kutokana na ajali za bodaboda ni vingi mno. Vijana wanaendesha pikipiki bila kuwa na leseni na wakati mwingi hata bila kuwa na pikipiki hizo kusajiliwa. Vijana huwa wala hawana helmet na wabapakia wenzao wawili au watatu zsidi, naarufu kama mishkaki. Picha hiyo...
  19. msakhara

    JamiiForums Tanzania Kero: ABC Bus ya Mbeya bado ni hovyo kabisa

    Wakati ulimwengu ukienda haraka, na watu wengine wakiangalia namna ya kuongeza ufanisi na kupunguza maudhi, Tanzania naona bado sana tunapiga marktime. Yaani gari tumekata ticket, inayoonesha saa 1830 inawasiri ila hadi saa 2015 bado haijaja. Na wahusika wakiulizwa jibu ni rahisi kabisa...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mtaa wa Miswe, Kata ya Mbwawa - Pwani kuna kiwanda cha unga kinapiga sana kelele

    Mtaa wa Miswe, Kata ya Mbwawa, Mkoa wa Pwani kuna kiwanda cha unga kilichofunguliwa katikati ya makazi yetu tangu Mwaka 2025. Kiwanda hicho kinamilikiwa na wawekezaji kutoka Nigeria na kimekuwa kikitoa kelele kubwa kutoka kwenye mitambo yake. Kelele hizo zinatusumbua sana, hasa wazee, wagonjwa...
Back
Top Bottom