KERO Baadhi ya Vyuo vya Afya vinachelewesha matokeo ya Special na Supplementary

KERO Baadhi ya Vyuo vya Afya vinachelewesha matokeo ya Special na Supplementary

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Deluxe090

New Member
Joined
Oct 26, 2026
Posts
1
Reaction score
0
Baadhi ya vyuo vya afya nchini vilikamilisha mitihani ya special na supplementary wiki mbili zilizopita, lakini hadi sasa havijatoa matokeo hayo.

Kuchelewa kwa matokeo kunasababisha ucheleweshaji wa kuyawasilisha kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), hali inayoweza kuchelewesha mchakato wa upangaji wa mikopo na upatikanaji wa fedha za mikopo kwa wanafunzi husika kwa wakati.

Hivyo, natoa rai kwa vyuo vinavyohusika kuharakisha taratibu za usahihishaji na utoaji wa matokeo hayo, ili yaweze kuwasilishwa HESLB mapema na kuwawezesha wanafunzi kupata stahiki zao kwa wakati.
 
Back
Top Bottom