Wakati Msanii Dudubaya ana "trend" na msemo wake waarufu wa kulinda migongo, baadhi ya watu walibeza, wengine waliona kama ni kauli za kilevi levi na wengine waliona kama mtu anayetafuta kiki
Baadae kauli ikapokelewa na baadhi ya watu wanaojua ukubwa wa tatizo alilokuwa ameligusa Dudubaya...
https://www.youtube.com/live/fgScnH9W6rA
TAARIFA YA MATOKEO YA MTIHANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI (PSLE) ULIOFANYIKA SEPTEMBA, 2026
UTANGULIZI
Katika Mkutano wake wa 173 uliofanyika tarehe 02 Novemba, 2026 katika ofisi za Baraza la Mitihani la Tanzania zilizopo Dar es Salaam, Baraza la...
Mkuu wa uchaguzi wa Israeli Noam Sohlberg anasema matokeo ya uchaguzi yatasimama licha ya tuhuma kubwa za ufadhili wa kigeni unaolenga kushawishi kura.
Katika taarifa ya pamoja na Mwanasheria Mkuu Gali Baharav-Miara na mkuu wa Shin Bet David Zini, Sohlberg anasema madai hayo ni mazito lakini...
Na ndio maana sikuhizi gereji za wachina zinazidi kuwa na demand kubwa, mtu anaona ni heri alipie mara tatu kuliko kwenda garage za mafundi wabongo.
Mafundi wetu wana tatizo moja kubwa: hawajui kusema "SIJUI."
Kila kitu wanalazimisha kukitengeneza hata kama hawana uelewa nacho. Mwisho wa siku...
Wakuu, mimi pamoja na wenzangu tulijiunga na kozi ya udereva wa malori katika kituo cha Temeke mwezi Julai na kumaliza mwishoni mwa Agosti. Tulikuwa kundi la 16 (Intake 16).
Cha kushangaza, hadi sasa matokeo yetu hayajatoka, na hatujui hatma yetu. Hali hii inatupa wasiwasi, hasa kwa baadhi yetu...
Baadhi ya vyuo vya afya nchini vilikamilisha mitihani ya special na supplementary wiki mbili zilizopita, lakini hadi sasa havijatoa matokeo hayo.
Kuchelewa kwa matokeo kunasababisha ucheleweshaji wa kuyawasilisha kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), hali inayoweza...
Kiongozi wa upinzani nchini Tanzania, Tundu Lissu, anatarajiwa kuanza mgomo wa kula leo, akipinga kile ambacho mawakili wake na chama chake wanaeleza kuwa ni ukiukwaji wa haki yake ya kuwasiliana kwa faragha na wanasheria wake akiwa mahabusu, wakati akisubiri hukumu ya kesi ya uhaini...
Timu ya Manchester United sasa inaelekea kuwa kati ya timu zinazopigania kutoshuka Daraja kwa kuwa ina alama 7 ikiwa moja zaidi ya Nottingham Forest ambayo ipo kwenye Kundi la timu zinazopambana kutoshuka Daraja katika Premier League.
Mpaka sasa United imekubali kichapo cha magoli 3-0 ikiwa Old...
Baadhi ya vyuo vimefunguliwa tangu tarehe 19, na wanafunzi wanatakiwa kuripoti chuoni ili kuanza muhula mpya wa masomo. Hata hivyo, changamoto inayotukabili ni kwamba hatujapokea matokeo yetu, huku kuripoti chuoni kukihitaji kulipa ada na kujiandaa kwa mahitaji mengine ya masomo.
Tunapouliza...
Anonymous
Thread
afya
diploma
fanya
matokeo
mwezi
ngazi
pili
vyuo
vyuo vya afya
wanafunzi
wanafunzi wa vyuo
Wanabodi
Japo sikusomea fani ya ualimu, lakini kwa kadri uzee unavyoninyemelea, nimeanza kujiona kama mwalimu humu, kuwafunza madogo humu mambo makubwa wasio yajua!.
Somo la leo ni somo la Haramu sio tuu inavyoweza kugeuka halali, bali haramu nyingine ni baraka.
Mada kuu ni
Je wajua kuwa...
Sisi wazazi wa wanafunzi wanaosoma kozi ya Technician Certificate in Library and Information Studies kwa mwaka wa masomo 2025/2026, tunasikitishwa na changamoto zinazowakabili watoto wetu kuhusu mitihani, tathmini za kozi na utoaji wa matokeo. Tunaomba mamlaka husika zifuatilie suala hili ili...
Hoja ya awali ~ Matokeo ya CBE Dodoma Mwaka 2018/19 na 2019/20 hayajawekwa katika Mfumo wa NACTVET
YAH: UFAFANUZI KUHUSU MATOKEO YA WANAFUNZI KUTOPANDISHWA KWENYE MFUMO WA NACTVET
TAREHE: 20/10/2026
Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Kampasi ya Dodoma, kimeona taarifa iliyosambazwa kwenye...
Kwako Mhe Rais wa JMT,
Mhe.Waziri Mkuu
Mhe.Waziri wa TAMISEMI
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano,
Natanguliza pongezi nyingi kwa kazi kubwa mnayoifanya ambayo matokeo yanaonekana kila mahali ambayo inaleta tabasamu la matumaini.
Nawapongeza zaidi kwa hatua mbalimbali za kuleta...
Je umewahi kujiuliza kwanini kuna baadhi ya watu ni wapambanaji na ni wahangaikaji katika maisha na hawakosei mahala katika mapambano yao ila hawafanikiwi siku zote wanakua watu wa chini, ila kuna wengine ni wavivu na wasiopenda kujishughulisha ila wanamaisha mazuri na hawakosi wanachohitaji...
Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Nickson Simon John, Oktoba 8, 2026 alifanya kikao na Watumishi wa Makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe katika Ukumbi wa Sambila, akisisitiza umuhimu wa kujenga utamaduni wa kiutendaji unaozingatia matokeo na mahitaji ya Wananchi.
Akizungumza katika kikao...
Wahitimu wa shahada ya uuguzi kutoka UDOM wanakabiliwa na changamoto ya incomplete kwenye matokeo yao ya mwaka wa pili hali inayosababisha matokeo yao kucheleweshwa TNMC na hivyo kukosa uhalali wa kufanya maombi ya utarajali yanayotakiwa kuanza tar 1 november.
Matokeo ya CBE Dodoma Mwaka 2018/19 na 2019/20 hayajawekwa kwenye Mfumo wa NACTVET, mtu aliyemaliza miaka hiyo akirudi chuoni kuendelea na masomo, anaambiwa matokeo yake bado hayapo NACTVET.
Miaka yote hiyo walikuwa wanafanya nini? Sasa mtu hawezi kuendelea na Degree mpaka matokeo yawepo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.