BigTall
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 706
- 1,716
Mpaka sasa United imekubali kichapo cha magoli 3-0 ikiwa Old Trafford kutoka kwa Bournemouth, leo Oktoba 25, 2026, matokeo yanayoonesha kuna uwezekano Kocha Michael Carrick safari yake imewadia.
2, na la 3 offsideNgapi kapigwa?
Ni muda sasa Simba kuomba mechi na Man u2, na la 3 offside
Kabisa yaani Kila mwaka kocho mbovu analetwa mpya, Kuna tatizo kama sio Kwa wachezaji bas uongoziMtafukuza makocha wangapi? Kubalini wachezahi nao hawajitambui kama wanataka ushindi.