united

United Airlines, Inc. (commonly referred to as United) is a major U.S. airline headquartered at Willis Tower in Chicago, Illinois. United operates a large domestic and international route network spanning cities large and small across the United States and all six inhabited continents.
Measured by fleet size and the number of routes, it is the third-largest airline in the world.
United has eight hubs, with Chicago–O'Hare being its largest in terms of passengers carried and the number of departures. It is a founding member of the Star Alliance, the world's largest airline alliance with a total of 28 member airlines. Regional service is operated by independent carriers under the brand name United Express. The United brand name was established by the amalgamation of several airlines in the late 1920s, the oldest of these being Varney Air Lines, which was founded in 1926 but was taken over by Continental Airlines management in 2010 in what was described as a "merger of equals" and a newly created holding company for the airlines.

View More On Wikipedia.org
  1. Palac

    JamiiForums Tanzania Ningeshauri wizara ya habari sanaa na utamaduni tuwaalike MANCHESTER UNITED nyumbani ili kuchuana na TAIFA STARS katika kipindi hiki kama KENYA.

    | ARSENAL NA MANCHESTER UNITED KUTUA TANZANIA? Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anaripotiwa kuwa kwenye mazungumzo na klabu za Arsenal na Manchester United kwa ajili ya uwezekano wa kuandaa mchezo mkubwa wa kirafiki nchini Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa za vyombo...
  2. min -me

    JamiiForums Tanzania Je wajua Manchester United ni timu ina mahusiano mazuri na Israeli?

    Hii timu toka imeonyesha chuki dhidi ya waarabu ya wazi kabisa na kukumbatia sera za Israeli ( zayuni) imekua takataka kabisa, kwa sasa hili takataka linaloitwa manjesta limekua likiwaunga mkono Israel dhidi ya palestina acha yapigwe tu mamaeee
  3. BigTall

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya ya Man United na Bournemouth kama Carrick hatafukuzwa itakuwa maajabu ya Dunia

    Timu ya Manchester United sasa inaelekea kuwa kati ya timu zinazopigania kutoshuka Daraja kwa kuwa ina alama 7 ikiwa moja zaidi ya Nottingham Forest ambayo ipo kwenye Kundi la timu zinazopambana kutoshuka Daraja katika Premier League. Mpaka sasa United imekubali kichapo cha magoli 3-0 ikiwa Old...
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Manchester United ukichukulia serious unakufa na pressure!

    Hii team inabidi uwe unaishabikia kishkaji tu. Yaani usiwe nayo serious kabisa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Leeds United 1-1 Manchester United, Oktoba 18, 2026

    Timu ya Manchester United imeendelea kuwa na msimu mbaya baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 dhidi ya Leeds United, ikiwa imeshinda mchezo mmoja tu kati ya 8 iliyopita ya michuano yote. Matokeo hayo yanazidi kumuweka Kocha United, Michael Carrrick katika hatari ya kufukuzwa, kwani hadi sasa timu...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Wayne Rooney aeleza wasiwasi kuhusu mustakabali wa Bruno Fernandes Manchester United

    Mchezaji wa zamani wa Manchester United, Wayne Rooney, ameeleza wasiwasi wake kuhusu hali ya nahodha wa timu hiyo, Bruno Fernandes, akisema kuwa huenda kukawa na mvutano kati yake na benchi la ufundi iwapo matokeo mabaya ya timu hiyo yataendelea. Manchester United imekuwa na mwanzo usioridhisha...
  7. makpridash

    JamiiForums Tanzania Nimeangalia mechi ya Man united na Toten spars

    Carrick sio kocha Hana mbinu Hana mkakati Hana akili Hana mipango Hajui kitu
  8. M

    JamiiForums Tanzania FT: Premier League: Fulham 1-1 Man United

    Manchester United imeendelea kudondosha pointi baada ya kupata sare ya goli 1-1 dhidi ya Fulham katika Premier League, ikiwa ni mchezo wa tatu mfululizo kutopata ushindi katika michuano tofauti msimu huu wa 2026/27. Kabla ya mchezo wa leo Septemba 20, 2026, Man United ilifungwa na Manchester...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kuna move imeanzishwa na viongozi wa Scotland, Wales na North Ireland inatishia Kuivunja United Kingdom!? Itafanikiwa

    Kwa tunaojua Alama za Nyakati kupitia Biblia, the best move hiyo itatokeza ni kuharakisha mwisho wa Mfumo huu wa Shetani na kuleta era ya Utawala wa Mungu chini ya Mfalme Jesus Christ. Biblia ( Daniel ikisomwa pamoja na Revelation) na ukichunguza Historia ya Tawala za Kibinadamu inatuambia the...
  10. Mad Max

    JamiiForums Tanzania City leo anadundwa na United, hafu nafasi ya Kwanza ndio Hajikaa Tena hadi Msimu ujao!

    Yap. Man City mbele ya United leo hana cha kufanya. Anapigwa. Na hajikukaa Nafasi ya Kwanza Tena huu Msimu.
  11. E

    JamiiForums Tanzania United States President hid inside Air Force One 9/11

    During the September 11 attacks, President George W. Bush continued to govern from Air Force One while airborne, amid concerns that the White House could be a target. https://t.co/OdFJEuAgWs Anatomy of The Air Force One: Can it Survive a NUCLEAR ATTACK?
  12. AI tata

    JamiiForums Tanzania Leo tunakwenda kuchen champion league man United tunica na wenge

    Yaani sijapendezwa na michezob yetu ikiwa leo tunampigamtu
  13. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Manqoba Atoa Maagizo Mazito Yanga Dhidi ya Gaborone United

    Kocha Mkuu wa Yanga SC, Manqoba Mngqithi, amewataka washambuliaji na mabeki wake kuingia uwanjani wakiwa na umakini wa kiwango cha juu, akisisitiza kuwa ufanisi wa kufunga na uimara wa safu ya ulinzi ndizo zitakazokuwa silaha kuu za kuing’oa Gaborone United ya Botswana. Mchezo huo wa marudiano...
  14. Tembosa

    JamiiForums Tanzania FT: Gaborone United 1-1 Young Africans SC | CAFCL-1st Leg | Botswana National Stadium | 05-09-2026

    Yanga leo watatupa karata yao ya kwanza ya Ligi ya mabingwa msimu wa 2026/2027 dhidi ya wenyeji wao Gaborone. Vipi matoke yatakuwaje kwa Yanga weka kwenye comment hapo KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA
  15. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Tanzanian Musical Artist Civilian-Coin quoted that "The Richness of many Artists in United States is because of good governance in Arts and Culture".

    Tanzanian Musical Artist Mr. Civilian-Coin quoted that "The Richness of many Artists in United States is because of good governance in Arts and Culture" ANALYSIS: United States of America (USA) has good plan to keep their Artists to be rich in Wealth and Freedom in Arts and Culture. United...
  16. min -me

    JamiiForums Tanzania Asee bar kuna pisi kali mno

    Juzi kati , nipo zangu bar natia gambe , huku nikicheki game ya Manchester United, kupiga jicho nakutana na jicho la mtoto mkali kinouma. Halafu kwa makusudi kabisa akasimama akatoka kwenda maliwato , huku akinikata jicho nakutingisha makalio yake mazuri na malaini mno. Mwamba nikajikaza...
  17. M

    JamiiForums Tanzania FT: Premier League: Man United 5-2 Ipswich Town

    Timu ya ManchesterUnited inamkanda kuifunga Ipswich ikiwa ndio ushindi wake wa kwanza kwenye Premier League mpaka sasa inagoza kwa magoli 5-2 kwenye Uwanja wa Old Trafford jijini Manchester, Agosti 30, 2026. United ilianza msimu vibaya kwa kufungwa na Leeds United magoli 2-0, hali iliyowapa...
  18. Da Dona

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Kampala Traffic Encounters a Manchester United Fan After Full Time

    Video: You supported Man United and now the whole road is against you
  19. M

    JamiiForums Tanzania FT: Premier League: Hull City 2-0 Man United. Unamuonaje Kocha Carrick?

    ENGLAND: Msimu uliopita #ManchesterUnited iliumaliza kwa kuonesha ushindani mzuri, safari hii Msimu wa 2026/27 katika Premier League imeanza kwa kupigwa 2-0 kutoka kwa timu iliyopanda daraja, Hull City. Mdau, una neno gani kwa Kocha wa Man United, Michael Carrick?
  20. M

    JamiiForums Tanzania Shabiki wa Man united: Red flags hizi za INEOS zifanya nisiwe na imani nao

    Kama shabiki wa Man united wa miaka zaidi ya 20 ambaye nilishuhudi nyakati nzuri za mafanikio ya Man united chini ya Sir Alex Ferguson na CEO David Gill, nawasiwasi nyakati zile nzuri zinaweza zisirudi hivi karibuni. Baada ya kufanya tathmini juu ya uelekeo wa hii Man united chini ya INEOS...
Back
Top Bottom