Ashinde na njaa au nini mkuu?Kuna uwezekano mkubwa Yanga anashinda goal 2
Yanga inashinda 2 kwa sifuri, ugenini kama nyumbani
Acha kupita pita na kanga moja kwenye vikao vya kiumeni we kolo.Ashinde na njaa au nini mkuu?
🦁Tuko paleNa atagongwa kimoja cha nguruwe 😅