Je wajua Manchester United ni timu ina mahusiano mazuri na Israeli?

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
61,672
Reaction score
178,673
Hii timu toka imeonyesha chuki dhidi ya waarabu ya wazi kabisa na kukumbatia sera za Israeli ( zayuni) imekua takataka kabisa, kwa sasa hili takataka linaloitwa manjesta limekua likiwaunga mkono Israel dhidi ya palestina acha yapigwe tu mamaeee
 
😅😅
 
Sema kiwango Cha kufikiri Cha vijana wa nchi hii kiko chini sana nikisema Cha vijana wa mnyazi nitaonekana kuwa na chuki ngoja niseme wote tu
 
Kiko chini, umewazidi kitu gani kwenye maisha yao?
 
Attachments

  • downloadfile-2.jpg
    downloadfile-2.jpg
    35.7 KB · Views: 4
Back
Top Bottom