Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.
Wanaitwa Johor Darul Ta'zim aka JDT aka Southern Tigers ya Malaysia wanashikilia rekodi ya kutokupoteza mechi kwa muda mrefu. Wamecheza mechi zaidi ya 110 bila kupoteza tangu 2021, nimesikia kuna ndugu zake GB 64 wanajitangaza eti world record na vimechi vyao vingapi sijui
Bado nafuatilia...
“Kwanza niwaambie Wanasimba hawana haja ya hisa sijui wamenyimwa hisa.. Nachoamini Wanasimba hawataki hisa wanataka furaha, ili ushinde unahitaji Wachezaji ndio maana Mwekezaji anawaleta. Hawa Viongozi wengine Machawa tu, unasema timu inauzwa ilikuwa na thamani gani miaka 10 nyuma?”
Azim...
Ukweli mchungu ni kwamba sio Yanga,Simba Wala Azam wayavuka makundi licha ya kujifariji,makundi yamewakalia vibaya sana.
My Take
Ambae hataki kukutana na vigogo akashiriki Kagame CUP
Salaamu wakuu
Mafanikio ya Mpira wa Tanzania ya mekuwa yakushangaza ndani ya hii miaka 6 jambo ambalo limekuwa la kuigwa kwa nchi jirani
Mwaka huu Kwa bara zima la Africa ni nchi 2 pekee zilizoingiza timu 4 ambazo ni Morocco na Tanzania
Swali ni je nani anatakiwa kupongezwa kati ya TFF au...
Ligi ya Tanzania imeendelea kuonesha kuwa inazidi kukua kwa timu zake 4 kufuzu kwenda hatua ya Makundi,
Simba, Yanga zimefuzu klabu bingwa kwa kutoa kichapo kizito kwa timu walizokuwa wanacheza nazo
Huku, Azam na Singida black stars wakiipeperusha bendera ya Nchi kwenye kombe la shirikisho.
Hii timu toka imeonyesha chuki dhidi ya waarabu ya wazi kabisa na kukumbatia sera za Israeli ( zayuni) imekua takataka kabisa, kwa sasa hili takataka linaloitwa manjesta limekua likiwaunga mkono Israel dhidi ya palestina acha yapigwe tu mamaeee
Kujiita manjesta hii ya wapinga nyeto ni kosa langu la kwanza hapa jf , kwa kweli naomba nisamehewe sana🙏
Hii timu ina wazungu pori na matapeli kwa sasa , nimejitoa rasmi manjesta , hii nguvu nawekeza simba tu , mpaka manjesta atapata tajiri anae jielewa nitarudi🙏
Nimeutazama huu moto wa timu ya Simba sc ulionao sasa, nikiri wazi kuwa hakuna timu barani afrika inayotamani kukutana na hii Simba sc.
Mpaka sasa tumeshafuzu makundi ya klabu bingwa barani Afrika. Na ndoto na Shauku yetu kuutwaa huu ubingwa na kuweka historia kuwa timu ya kwanza Afrika...
Watumishi wa afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo, Mbeya, tulitoa malalamiko kuhusu DMO, In-charge wa Hospitali ya Wilaya, Katibu wa Afya wa Wilaya na timu yake ya CHMT, tukidai kuwepo kwa matumizi mabaya ya mapato ya hospitali kwa starehe, ikiwemo safari za Matema Beach, wakati...
Anonymous
Thread
afya
halmashauri
mbeya
timutimu ya
uchunguzi
watumishi
watumishi wa afya
wilaya
wilaya ya busokelo
Kuna watu wanaojifanya eti wana uchungu kuliko wengine. Kaeni mbali na timu maana hakuna timu isiyofungwa milele.
Timu isiyofungwa haipaswi kucheza na timu nyingine.
Nawauliza, wizara ya michezo pa.oja na wadau wa michezo nchini, hivi kweli hii timu tuliyonayo ndio kweli itaenda kutuwakilisha kwenye michuano ya Afcon 2027?
sina mengi ya kusema.
Timu ya Wataalam iliyoundwa kwa ajili ya kuchambua hoja za wananchi kuhusu mgogoro wa muda mrefu wa mipaka ya kiutawala na mpaka wa Msitu wa Kazimzumbwi, imewasilisha taarifa ya uchambuzi wa hoja zaidi ya 60 zilizowasilishwa na wananchi 22 kwa Mawaziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa...
Nampongeza sana kocha mpya wa Ureno kukataa kupelekeshwa na mtu aliezeeka mda wake umeisha lakini Bado analazimisha kucheza mpira.
Wakati mwenzake kule Argentina anaagwa kwa heshima baada ya kuipatia mafanikio makubwa sana timu ya taifa, mwenzake huku anafurushwa.
Kwasasa Portugal itakua timu...
Timu ya taifa ya Eritrea jana imetoa Suluhu ya 1-1 na timu ya taifa ya Kenya,game ilikuwa tough na Eritrea ambao kimsingi kwa miaka mingi ni underdog wa Africa Mashariki walionyesha kiwango ambacho hakuna aliyetegemea ingekuwa hivyo!!
Siri ilikuwa ni moja Eritrea wametumia mfumo wa Morocco...
Mbunge Ado Shaibu Ado alipiga simu Waziri wa Maji Aweso wakati wa mkutano na wananchi katika kijiji chake ili kuwasilisha changamoto kubwa za maji.Wananchi walikuwa wamelalamika kwa muda mrefu kuhusu maji machafu yanayotolewa kwenye visima, hali iliyowafanya kunywa maji yasiyo safi.
Waziri...
Mimi Taifa Stars nimeshaitoa kwenye list ya timu ntakazoshangilia , kitendo cha Waziri kwenda front na yeye kutaka auze jezi mtaani kimetoa morari yangu juu ya hii timu.
Kwa sasa hata wakitaka kuweka sura ya mama kwenye jezi waweke kabisa au kuweka jembe na nyundo waweke pia.
Hatuna vipaji ambavyo vitufanye tuone sawa tu mchezaji wa ligue one Mbwana Samatta astaafu kuchezea timu ya taifa huku kuna mashindano ya AFCON.
Aombwe arudi ,aje astaafu baada ya AFCON, mchango wake bado unahitajika.
1. Karibu influencers wote wa Simba wanatumika kuhujumu timu.Ni kama wanne ama watano tu ndio tunawaona wakiwa sawa wakiongozwa na pasi milioni.
2. Viongozi wanaoanzisha ***** ***** na kuleta taharuki aidha kwa kauli zao ama matendo yao
3. Waandishi na wachambuzi mfano wale wanaoongelea ofa ya...
Kuna vijana wengi wanajifanya ni timu BIKIRA.
Ukweli ni kwamba, sahivi hakuna kijana ambaye ni timu BIKIRA.
Vipi utajiita timu BIKIRA wakati una demu kila uchochoro,ajabu unatongoza hadi wake wa watu.
Huyo binti unayemchanyata kila siku anafikiri ni nani atakuja kumuoa, kumbuka malaya wa kiume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.