Timu 4 za Tanzania zimefuzu kwenda hatua ya Makundi CAF, hongereni sana

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Ligi ya Tanzania imeendelea kuonesha kuwa inazidi kukua kwa timu zake 4 kufuzu kwenda hatua ya Makundi,

Simba, Yanga zimefuzu klabu bingwa kwa kutoa kichapo kizito kwa timu walizokuwa wanacheza nazo

Huku, Azam na Singida black stars wakiipeperusha bendera ya Nchi kwenye kombe la shirikisho.
 
kitu kimoja tu bado, kuuanza kuuza wachezaji wetu kwa wingi nje ya tanzania kwenye vilabu vingine, tofauti na sasa tumekua wanunuzi wakuu wa wachezaji kutoka nje
 
Hii ni hatua nzuri, tunajikuta wachazaji wa Afrika wanatamani kuja kucheza Bongo. Lakini tujiulize ukitoa kina Libasse timu zingefika wapi?
 
Ndio, ukitoa wachezaji wengi wa kigeni, timu zetu zingefika wapi? Nakumbuka Mazembe na AS Vita au Zamalek, Al Ahl, Berkane zinasumbua na wachezaji wa ndani zaidi kulipo kutegemea majeshi. Umeelewa wewe mlima mahindi wa Kibaigwa?

Shida kwanini usimtaje keyeke,sowa,au Fuentes Mendoza mpaka umtaje libaseeeee
 
Tumetoka mbali sana. Sasa hivi kufuzu ligi ya mabingwa imekuwa kawaida sana. Zamani ilikuwa kama muujiza.
 
Ndio, ukitoa wachezaji wengi wa kigeni, timu zetu zingefika wapi? Nakumbuka Mazembe na AS Vita au Zamalek, Al Ahl, Berkane zinasumbua na wachezaji wa ndani zaidi kulipo kutegemea majeshi. Umeelewa wewe mlima mahindi wa Kibaigwa?
Kwenye soka la vilabu kutegemea wachezaji wa kigeni ni jambo la kawaida.Angalia R Madrid na Bayern mafanikio Yao yanabebwa na wachezaji wa kigeni.
 
Yanga anaendaje makundi akati katoa suluhu na Tabora United? ... 😂 😂
 
kitu kimoja tu bado, kuuanza kuuza wachezaji wetu kwa wingi nje ya tanzania kwenye vilabu vingine, tofauti na sasa tumekua wanunuzi wakuu wa wachezaji kutoka nje
... ambao hawana msaada when it comes to national team. Dumbia! Dumbia! Dumbia! Sijui SHALULILE! SHALULILE! SHALULILE! Then what?

Tukuze vipaji vya ndani dola ziingie badala ya kutoka.
 
Sawa sawa,sio Sasa hv tunaletewa makapi, halafu tunajisifu, dumbia ,dumbia, sijui shalulile ,kumbe hakuna kitu, mie nitakapoona tumegeuza Soka letu kuwa Biashara ya kuuza Nje vijana wetu ndio nitajua Soka limekua
 
Back
Top Bottom