comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Nampongeza sana kocha mpya wa Ureno kukataa kupelekeshwa na mtu aliezeeka mda wake umeisha lakini Bado analazimisha kucheza mpira.
Wakati mwenzake kule Argentina anaagwa kwa heshima baada ya kuipatia mafanikio makubwa sana timu ya taifa, mwenzake huku anafurushwa.
Kwasasa Portugal itakua timu hatari sana yule namba 7 mkabaji kashatupiwa virago