Huyu hapa namba 7 mpya wa timu ya taifa ya Portugal

Halafu kwa umri wa Mzee Ronaldo kukaa benchi bila kuingia ni heshima kubwa mno.

Yaani ni kama sehemu ya benchi la ufundi, kama angekuwa Mzee mwenye busara uwepo wake pale nje ungefanya wachezaji wajione wako kwenye mikono salama.
Tatizo la huyu mzee hata wakisema awe sehem ya benchi la ufundi atataka yeye ndo awapangie cha kufanya makocha. Huyu asitaafu tu mpira au akaombe uraia saudia arabia akamalizie ndoto ya goli zake 1000
 
Jamaa analalamika kwanini kocha kamwambia afanye warm up kwa dakika 45 halafu hajamuingiza kucheza.

Mi nampongeza kocha mzee kama yule anaweza hata kufia uwanjani kwa baridi kocha kumwambia afanye warm up ni muhimu kwa afya na uhai wake kibabu Ronaldo.

Scars
Sikuwahi kuamini kuwa kuna siku mashabiki wa Argentina watakuja kuishangilia na kuishabikia Ureno.

Ila leo nime prove.

Kuna siku mtakuja kumshabikia Ronaldo nyinyi hamueleweki.
 
Portugal ya mwisho ni ile ya akina Luis Figo na Rui Costa iliyopigwa Goli la Kifo na Ufaransa...kwenye EURO 2000.. hiki kizazi kingekuwa na CR7 wa 20`s walau kingefanya kitu..
Cheki naye huyu

Tuanze na stats za figo na Ronaldo kwenye hiyo hiyo team ya Taifa.
 
Tatizo la huyu mzee hata wakisema awe sehem ya benchi la ufundi atataka yeye ndo awapangie cha kufanya makocha. Huyu asitaafu tu mpira au akaombe uraia saudia arabia akamalizie ndoto ya goli zake 1000
Ronaldo ni husler huwezi fananisha na FIFA Princess.
 
Sikuwahi kuamini kuwa kuna siku mashabiki wa Argentina watakuja kuishangilia na kuishabikia Ureno.

Ila leo nime prove.

Kuna siku mtakuja kumshabikia Ronaldo nyinyi hamueleweki.
Unaambiwa mwaka 2085 fainali kombe la dunia itakuwa kati ya Ureno na Argentina.

Mpaka dakika ya 90 matokeo ni Ureno 1 Argentina 2.

Zinaongezwa dakika 6.

Dakika ya 95 ya mchezo ureno wanapata kona inapigwa Ronaldo akiwa na miaka 100 anajivutavuta na kuruka juu kijitwisha header inayoipatia ureno bao la kusawazisha.

Kutokana na kuruka juu sana na uzee wake Ronaldo anadondoka na kufa uwanjani.

Hata hivyo refa anaitwa kuangalia kwenye VAR kuona kama Ronaldo alikuwa offside au la kabla ya kupiga header.

Refa anagundua ni offside hivyo goli la Ronaldo linakataliwa.

Refa anapuliza kipyenga cha mwisho Argentina ananyanyua ndoo.
 
Unaambiwa mwaka 2085 fainali kombe la dunia itakuwa kati ya Ureno na Argentina.

Mpaka dakika ya 90 matokeo ni Ureno 1 Argentina 2.

Zinaongezwa dakika 6.

Dakika ya 95 ya mchezo ureno wanapata kona inapigwa Ronaldo akiwa na miaka 100 anajivutavuta na kuruka juu kijitwisha header inayoipatia ureno bao la kusawazisha.

Kutokana na kuruka juu sana na uzee wake Ronaldo anadondoka na kufa uwanjani.

Hata hivyo refa anaitwa kuangalia kwenye VAR kuona kama Ronaldo alikuwa offside au la kabla ya kupiga header.

Refa anagundua ni offside hivyo goli la Ronaldo linakataliwa.
Messi wakati huo yuko wapi?
 
Back
Top Bottom