Huyu hapa namba 7 mpya wa timu ya taifa ya Portugal

Huyu hapa namba 7 mpya wa timu ya taifa ya Portugal

Halafu kwa umri wa Mzee Ronaldo kukaa benchi bila kuingia ni heshima kubwa mno.

Yaani ni kama sehemu ya benchi la ufundi, kama angekuwa Mzee mwenye busara uwepo wake pale nje ungefanya wachezaji wajione wako kwenye mikono salama.
Tatizo la huyu mzee hata wakisema awe sehem ya benchi la ufundi atataka yeye ndo awapangie cha kufanya makocha. Huyu asitaafu tu mpira au akaombe uraia saudia arabia akamalizie ndoto ya goli zake 1000
Ronaldo ni husler huwezi fananisha na FIFA Princess.
Fifa princess ndo nani
 
Tatizo la huyu mzee hata wakisema awe sehem ya benchi la ufundi atataka yeye ndo awapangie cha kufanya makocha. Huyu asitaafu tu mpira au akaombe uraia saudia arabia akamalizie ndoto ya goli zake 1000

Fifa princess ndo nani
1790870610007.png
 
Jambo jingine linalonisikitisha ni kuwa jezi namba 7 haijapewa kajiheshima ka kustaafishwa hata mwaka? Tayari ina mtu? Hahaha, kweli Ureno wamemchoka.
Hii iwe fundisho kwa wachezaji wengine wenye kiburi. Lamine Yamal na Mbappe wapate kujifunza maana naona dalili ya kiburi kwao.
 
Sijapendezwa na jezi yake kupewa mtu haraka haraka hivyo ila hayo ni Matokeo ya ubishi na kiburui angestaafu mapema angepewa heshima yake kuliko aibu anayopata sasa
 
LUIS FIGO ALISTAAFU KWA HIYARI ,RUI COSTA ALISTAAFU KWA HIYARI,PINTOO KWA HIYARI CHRISTIANI UNATAKA NINI TENA 😭 TIME IS OVER
 
Sijapendezwa na jezi yake kupewa mtu haraka haraka hivyo ila hayo ni Matokeo ya ubishi na kiburui angestaafu mapema angepewa heshima yake kuliko aibu anayopata sasa
Ila Mkuu we kama sio Muha sijui.

Unaubishi fulani hivi wa "mwenye sauti kubwa ndio anayeibuka mshindi"

Haijalishi unapewa hoja gani ila kwasababu mtaji wako ni sauti kubwa basi inakuwa rahisi sana kutawala mjadala.

Nimekupa hoja muhimu sana hapo kuwa Ronaldo hakuwa tayari kuendelea kuitumikia timu yake ya Taifa.

Kilichotokea ni Raisi wa shirikisho pamoja na kocha kwenda kumshawishi Ronaldo asistaafu kwani bado wao wanamuhitaji.

Hoja hii nimeanza kukupa tangu page ya 1 ya hii mada lakini bado unataka kutumia upayukaji kama silaha yako ya mwisho.
 
Cr7 ni mbinafsi sana yeye anadhani bila uwepo wake ureno haitofanya vizuri. Ni moja kati ya wachezaji wakubwa mwenye ubinafsi uliokubuhu.

Uzalendo wa kweli ni kuwapa nafasi na wengine waipambanie timu ya taifa. Huwezi kuwa yule yule miaka nenda rudi. Hiyo spirit aipandikize kwa kijana wake cr7 jr huenda kwake ikafanikiwa.
 
Back
Top Bottom