Kuna timu haitapata hata point moja kwenye hatua ya makundi msimu huu

Kuna timu haitapata hata point moja kwenye hatua ya makundi msimu huu

kibaigwa finest

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2026
Posts
411
Reaction score
445
Kundi la kifo likowapi sasa
 

Attachments

  • Screenshot_20261028-161213.png
    Screenshot_20261028-161213.png
    482.4 KB · Views: 11
Kundi A wakuu mbona kama mnalichukulia poa...........

Kwangu ni moja ya kundi gumu ,mpira utapigwa mno hapo.

Aina ya mpira wa hizo timu ni ule wa 0-0, 1-0, 1-1 , 2-1, 2-2, 2-0 baaaasi.
 
Back
Top Bottom