TADPOLE
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 3,353
- 11,038
Timu ya taifa ya Eritrea jana imetoa Suluhu ya 1-1 na timu ya taifa ya Kenya,game ilikuwa tough na Eritrea ambao kimsingi kwa miaka mingi ni underdog wa Africa Mashariki walionyesha kiwango ambacho hakuna aliyetegemea ingekuwa hivyo!!
Siri ilikuwa ni moja Eritrea wametumia mfumo wa Morocco wakufanya scouting ya wachezaji wao wote waliopo duniani na kuwainfluence waje kuwakilisha taifa lao la asili,zaidi ya wachezaji 30 walioitwa timu ya taifa ya Eritrea wanacheza nje ya nchi yao hasa Ulaya,mbinu hii ndio mafanikio ya Morocco kwa miaka ya karibuni ambao nao pia huwa wanatafuta na kushawishi professional players duniani kote wenye asili ya Morocco kwa ajili ya kuliwakilish taifa lao.Morocco kwa sasa ndio timu ya taifa inayoshikiria rekodi ya longest unbeaten katika mechi zake za kimataifa
Tukubali tukatae kwa miaka mingi timu ya taifa inafeli kwa siasa za.usimba na Uyanga,maneno maneno yanaanza pale tu kikosi cha timu ya taifa kinapotangazwa utasikia mbona sisi tumeitwa wawili,mbona wale wachezaji wao wengi wameanza,tuongee Ukweli tu Quality ya wachezaji wetu wazawa ambao wanashinda na kuzurura Samakisamaki na Beach kidimbwi sio watu wa kushindana na watu waliolelewa kwenye Academy za Ulaya na nchi nyingine zenye mustakabali mzuri wa soka.Mimi si muumin sana wa wachezaji wazawa kwenye timu ya taifa jambo ambalo limenifanya kwa muda mwingi niwe nafanya tafiti juu ya wachezaji wazuri wenye asili ya Tanzania ambao wamgeweza kuiwakilisha Tanzania katika timu zetu zote kuanzia under 17,under 20,under 23 na senior team..
Nakuletea orodha ya wachezaji wa kitanzania ambao wanacheza kwa mafanikio katika timu,academies za nchi za ulaya kwa madaraja yote(ligi kuu,madaraja ya chini) ambao wangeweza kuisaidia timu za taifa.
1)Abdallah Hamis (20 years) Al Ain,ligi kuu UAE,golikipa namba moja wa timu ya vijana ambao ni mabingwa watetezi wa ligi kuu ya vijana UAE na anapata nafasi kadhaa kwenye senior team
2)David Macha Manata (17),Mshambuliaji,Odense under 19 ligi kuu ya vijana Denmark,msimu huu mechi tatu magoli manne,lakini karia na wenzake hawamjui na hwana habari na mshambuliaji wa kitanzania ambaye anatupia kila mechi ligi kubwa kama ya Denmark
3)Noah Macha Manata (17 years),kiungo mkabaji Odense under 19 ni pacha wa David Macha Manata
4)Nathaniel Werner Mtengule (16 years),Kiungo Wolverhampton under18,uingereza,mshambuliaji,huyu dogo anajua sana ball wakuu,Waziri wa michezo hana program wala wazo lolote la kuhakikisha hakosi vipaji kama hili kazi yake kupiga domo akotaka asilimia 10 ya mauzo ya jezi
5)Sven Manyanza (18 years) kiungo mkabaji,Thun FC ligi kuu ya Switrzeland,huyu dogo hata kesho yupo tayari aitwe timu ya taifa la tanzania,club yake ya Thun FC ndio mabingwa wa ligi kuu ya Switrzeland msimu uliopita
6)Kealy Adamson (23 years),Beki wa kati,QPR FC uingereza,huyu alinifanya nitamani kulia juzi alipoitwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Australia,Kealy alikuwa yupo tayari kujumuishwa.kwenye timu ya taifa ambayo ipo kambini na mpaka alipost bendera ya Tanzania kwenye account yake ya Instagram na kuna interview alibainisha hilo lakini baada ya timu ya taifa kutangazwa wiki kadhaa zilizopitwa na yeye kuachwa hapohapo akaitwa timu ya taifa la Austarlia kwa mara ya kwanza
7)Seif Mpanda (16 years)huyu yupo La masia,Fc Barcelona huyu tumuangalie kwa jicho la tatu mpk mwakani tumtumie kwenye under 17,huyu dogo ni future star aisee,yeye ndio kinara wa upachikaji wa mabao kwa sasa pale la Masia na ni mshindi wa Ballon d or ya watoto mwaka jana ila waziri na Karia sijui kama wana taarifa hii,waziri katembelea FC Barcelona juzi tu hapa lakini nina uhakika hajawaza kukutana nae na wala alikuwa hajui kama yupo pale
8)Thierry Murunga (18 years)CD HUESCA Hispania,primera Federation.
9)Mirsad Ali (20 years)Beki,Leicester city uingereza,huyu Adi Yussuph kamshawish dogo mpaka kakubali kujiunga na timu ya taifa ya Tnzania
10)Amahl Pllegrino,(miaka 36),San Diego FC ligi kuu ya Marekani,huyu jamaa mpaka anazeeka ndoto yake ni kuichezea timu ya taifa ya Tz,licha ya umri wake huyu jamaa bado ni mtambo wa magoli huko Marekani,mara ya mwisho aliitwa timu ya taifa ya Tz mwaka 2023 lakini kama kawaida eti uhamiaji ilishindwa kukamilisha passport yake kwa wakati na dili ikafia hapo,huyu kashakuwa MVP ligi kuu ya Denmark zaidi ya mara moja
10)Jack Topley(18 years),Hull city huyu ni mshambuliaji aliwahi kuitwa serengeti Boys,lakn kaa sasa tunaweza kumtumia tena Under 20 na hata timu ya taifa ya wakubwa mwakani
11)Kwesi kawawa (25 years) orebro syrianska IF,ligi kuu sweden,huyu huwa anaachwa kwa figisu tu lkn ni kipa mzuri sana ambaye angeweza kutusaidia sisi kama nchi
12)Hussein Mbegu(16 years),Ac sparta Prague ligi kuu Czech Republic,huyu alikuwepo kwenye kikosi cha Serengeri boys kilicgofika fainali mwaka huu,hii ni silaha tunayoweza kuitumia mwakani ikaleta matokeo
13)Iachin giullio (17 years,mshambuliaji,AC PERUGIA,ligi daraja la pili Italy
14)Soan shabani (17 years)Kiungo,grenoble foot senior team,ligi daraja la pili ufaransa
15)amani dickson Mbedule (miaka 29) st paul,ligi daraja la tatu Germny,huyu ni mshambuliaji hatari sana ambaye tunaweza kumtumia akatuletea matokeo,rekodi zake zinashangaza kwenye ligi daraja la tatu ujerumani,anasema aliwah kukwama katika ishu ya kupata vibali vya kuitumikia Tz kwenye timu za vijana huko nyuma
16)Andrew Noni(18 years),brentford FC uingereza,huyu ana asili ya zimbabwe na Tanzania,lakin mara kadhaa amezungumza anataka kuichezea Tanzania,TFF kazi kwenu
17)Ismail Omar (19 years) polissya zhytomyr ligi kuu Ukraine,huyu ni beki ambaye kwa sasa yupo kwenye timu hiyo under 19 na mwisho wa mwaka ataingizwa senior team,msimu huu tu amechukua tuzo za man of the match mara tatu
18)Eric marco felician (18 years),mshabluaji Tortosa ebre ya nchini hispania, ni ajabu sana huyu mchezaji hadi leo hayupo kwenye timu za under 20,huyu ametokea academy ya fountain gate na kabla ya kujiunga na Tortosa ebre alikuwa academy ya Nástic ambapo alitupia magoli 30 katika mechi 35 na kuwa mfungaji bora wa ligi ya Catalunya hispania
19)Luqman Aided (18 years) beki anachezea Leicester city,uingereza..Mama yake mtanzania na baba yake ni muingereza na ameshamwambia Adi Yusuph kuwa anataka kucheea timu ya taifa ya Tanzania,unashangaa na huyu tutamkosa wakati angeweza kutumika Afcon mwakani
20)sebastian Mbise (miaka 21),mshambuliaji,IL tronder Lyn ligi kuu Norway,huyu nashauri aitwe halafu mtaamin maneno yangu
21)Igoro Kizungu (miaka 17) CF club azul,ligi kuu mexico,mshambuliaji..Ni ajabu kabisa huyu mchezaji hata hawamuwazii pale benchi la ufundi under 17 lakini ni bonge la mshambuliaji
22) Aden kasa (24 years),beki ragsved IF,ligi kuu Sweden,huyu amewahi kuitwa under 21 ua Sweden lakni mara kadhaa amenukuliwa akisema anataka kuchezea timu ya taifa ya Tanzania hasa Afcon ya mwakank
23)Yusuph Mwinyi (23) kiungo,Goczal kowice ligi daraja la 2 poland.
24)Mohammed Misanga (17 years)Winga,oxford united,ligi ya England amateur amecheza michezo 7 mpk sasa na kutupia magoli matano assist 2,ajabu hajawah hata kufikiriwa serengeti boys
25)Ridhwan Adim,kiungo Al wasl,ligi kuu ya UAE
26)Gwakisa mwakipesile (16years)Mshambuliaji,Manchester rose inayosimamiwa na Mnchester united,huyu dogo ni future star wa Taifa na angeweza kujumuishwa serengeti boys maana rekodi zake zinambeba
27)Consrich sprenger(19 years),mshambuliaji ligi ya Eereste Divisie uholanzi club ya VVV Venlo,huyu dogo amezaliwa.Dsm anatupia kila mechi na timu yake ipo nafasi ya nne mpk sasa
28)Massoud zachariah,kipa (16 years) cambridge united,angeweza kutumia hizi youth teams hili apate uzoefu atusaidie mbeleni
29)Lucas mrema miaka 20,mshambuliaji HJK helsinki,ligi kuu Finland
30)JOSEPH JR michael,Celta vigo ligi kuu ya Hispania,Kiungo
31)Junior Mwanga 22 years kiungo,Rc strasbourg ligi kuu ufaransa
32)Jovon Mokama 22 Years,Norwich city championship Uingereza
33)Abdul Haule,mshambuliaji pOLice FC Nepal,huyu ameshawahi kuchukua tuzo ya mfungaji bora ligi kuu Nepal
34)Abdul Mandeke (18 years) kiungo Riga FC ligi kuu Latvia
35)Sabir kondo,19 years BK Hacken ligi kuu sweden
Itaendelea nina orodha ya wachezaji zaidi ya 60 wanaocheza nje ambao wangeweza kutusaidia kuinua timu yetu ya taifa