Waziri mzima unaenda kugombania usupply jezi badala ukomae timu inashinda vipi

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,155
Reaction score
2,704
Mimi Taifa Stars nimeshaitoa kwenye list ya timu ntakazoshangilia , kitendo cha Waziri kwenda front na yeye kutaka auze jezi mtaani kimetoa morari yangu juu ya hii timu.

Kwa sasa hata wakitaka kuweka sura ya mama kwenye jezi waweke kabisa au kuweka jembe na nyundo waweke pia.
 
Mimi Taifa Stars nimeshaitoa kwenye list ya timu ntakazoshangilia , kitendo cha Waziri kwenda front na yeye kutaka auze jezi mtaani kimetoa morari yangu juu ya hii timu. Kwa sasa hata wakitaka kuweka sura ya mama kwenye jezi waweke kabisa au kuweka jembe na nyundo waweke pia.
ok.🐒
 
Hapa tungojee rungu la FIFA tu, nyamitako ana kiherehere sana.
 
Mimi Taifa Stars nimeshaitoa kwenye list ya timu ntakazoshangilia , kitendo cha Waziri kwenda front na yeye kutaka auze jezi mtaani kimetoa morari yangu juu ya hii timu. Kwa sasa hata wakitaka kuweka sura ya mama kwenye jezi waweke kabisa au kuweka jembe na nyundo waweke pia.

Vipi na wewe umeipata mpunga wa Sandaland???

Niunganishe nae nimpige hela na Mimi
 
Mimi Taifa Stars nimeshaitoa kwenye list ya timu ntakazoshangilia , kitendo cha Waziri kwenda front na yeye kutaka auze jezi mtaani kimetoa morari yangu juu ya hii timu. Kwa sasa hata wakitaka kuweka sura ya mama kwenye jezi waweke kabisa au kuweka jembe na nyundo waweke pia.
Tatizo la hawa wenzetu wanasiasa kuingiza siasa kwenye mambo ambayo hayahitaji siasa kwa kifupi wanataka umaarufu kupitia hiyo timu
 
Mimi Taifa Stars nimeshaitoa kwenye list ya timu ntakazoshangilia , kitendo cha Waziri kwenda front na yeye kutaka auze jezi mtaani kimetoa morari yangu juu ya hii timu. Kwa sasa hata wakitaka kuweka sura ya mama kwenye jezi waweke kabisa au kuweka jembe na nyundo waweke pia.
Kuna mihela hapo. Kushinda hakumsaidii lolote
 
MwanaFA alipaswa kuwa full minister kuliko makonda.
FA ni mtulivu, ana hekima na Elimu kuliko Makonda.
FA ana Masters yake unquestionable kabisa.
FA Age 47
Sio mlevi wa umaarufu, He has been famous since 2002.
Makonda sasa, ulimbukeni yeye, mihemuko yeye, uhasama na watu yeye, Elimu ya kimanyoka-nyoka yeye,
Yeye ni wa 1982...
Uteuzi wa huyu Makonda utazamwe upya
 
Mda siyo mrefu kitamlamba wakina bashe,kigagwala walikuwa wabishi ila sasa wako wap
 
Bashite ni cancer kwa Tanzania. He's no body mfker. Hii nchi inabebwa ufala na watu wa kutoka bush qumamae na tumekaa tu kama zombies. Siasa zao wanatuharibia furaha vibaya sana. Kwanza hii mbwa tangu ameulizwa kuhusu vyeti mpaka leo ajaonyesha. Watanzania ni watu stupid sana. Hamna akili kabisa ng'ombe nyie
 
Back
Top Bottom