1. Karibu influencers wote wa Simba wanatumika kuhujumu timu.Ni kama wanne ama watano tu ndio tunawaona wakiwa sawa wakiongozwa na pasi milioni.
2. Viongozi wanaoanzisha ***** ***** na kuleta taharuki aidha kwa kauli zao ama matendo yao
3. Waandishi na wachambuzi mfano wale wanaoongelea ofa ya Libase Gueye kwenda yanga.Huo ni mpango mkakati wa Engineer kila mwaka kuangali wachezaji hatari wa Simba na kujaribu kuwarubuni kwa kuwapa ofa ya mkataba hata kabla ya muda muafaka.Ukiona mchezaji anaenda yanga kwa kiasi kikubwa uwe na uhakika amewahi kuuza mechi hii sio siri.
Simba inabidi tupate kiongozi ambaye atafanya uhuni ule ule anaofanya engeneer wa kurubuni wachezaji wa yanga kwani naona ni kama vile Simba tumeacha mpira upigwe ila kinachotokea ni uhuni mwingi wa kurubuni wachezaji wscheze chini ya kiwango.Hii timu inayofanya hivi inakwenda hadi kwa timu ndogo na kutafuta key players wanalipwa ili wacheza chini ya kiwango.Ndio sababu timu inateseka sana kimataifa.
Nasikia wameshakwenda kwa baadhi ya wachezaji wa timu watakayokutana nayo na kuwarubuni kwamba watasainiwa dirisha dogo kwa ofa kubwa ili wawalegezee kwenye mechi inayokuja