habari

  1. funaku

    JamiiForums Tanzania Itungwe Sheria ya maudhui ya vyombo vya habari ,Social media na individual posts !!

    Kwa hali iliyopo sasa tutajikuta tumepoteza Taifa kimaadili ,kisaikolojia na kiuhalifu. Leo hii Social media au individual anaamua kupost Sherehe ya Mashoga iwe kwa kuituhumu au kwa kuishabikia na anaachwa tu!! leo hii Online TV Inaachwa tu ikipost mtu kachinjwa au kajinyonga au kanywa sumu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mimi ni member mpya humu. Naendesha Non Profit Oganiation, naomba mnikaribishe

    Habari ,Mimi ni mpya hapa jamii forums,naendesha non profit organization ,ambayo ni charity hapa Tanzania na imesajiliwa. Napenda kuina mawazo yenu,je taasisi zinazohusika na fundraiser ndani ya nchi, kwanini hazioni taasisi changa na kuzipa misaada ,hali inayopelekea taasisi hizi ziombe...
  3. Palac

    JamiiForums Tanzania Ningeshauri wizara ya habari sanaa na utamaduni tuwaalike MANCHESTER UNITED nyumbani ili kuchuana na TAIFA STARS katika kipindi hiki kama KENYA.

    | ARSENAL NA MANCHESTER UNITED KUTUA TANZANIA? Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anaripotiwa kuwa kwenye mazungumzo na klabu za Arsenal na Manchester United kwa ajili ya uwezekano wa kuandaa mchezo mkubwa wa kirafiki nchini Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa za vyombo...
  4. Olmo

    JamiiForums Tanzania Kharifa mwandishi wangu wa habari!

    Nakuomba uzidi kijilinda wewe kama wewe! Wewe ndiye uliyemhoji mzee huyu kwa hiyo basi uwezekano wa kuongea mengi off mic upo mkubwa sana. Utanifanya nishinde naangalia tanzania safaris peke yake maana umebaki wewe tu mwanahabari mpenda haki usiefanya kazi ili baadae ufikiriwe, unafanya kazi...
  5. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Nabii Godbless Lema ataahirisha Mkutano wa waandishi wa Habari leo?

    Ikumbukwe ni mara ya pili mkutano wa Wa Waandishi wa Habari wa Nabii Godless Lema kuingiliwa na sintofahamu leo pia kuna Msiba Wa Allute Mughwai Lissu Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) lakini pia ni Kaka wa Tundu Lissu.
  6. K

    JamiiForums Tanzania HIVI Bado Kuna watanzania wanafutilia taarifa za habari kupitia TV, au kusoma magazeti zaidi ya vipindi vya michezo

    Kuna wakati nilikuwa napenda sana kuangalia taarifa ya habari ya saa mbili usiku kupitia ITV. Sasa HIVI Nina miaka mitano au sita hivi sifuatili taarifa hizo kupitia TV. Mimi ni kuangalia mpira na tamthilia kidogo . Habari zangu nyingi nazipata mtandaoni. Tena napata habari ghafi kabisa...
  7. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Magaidi 2 waliojifanya Mwandishi wa Habari waangamizwa huko Hebron!!

    Magaidi wawili walitoka Hebron na kuwashambulia Waisraeli. Walipanga mauaji makubwa. Walisimamishwa na kuangamizwa, lakini si kabla ya wanajeshi wawili wa IDF kuuawa wakati wa shambulio hilo. Jeshi la IDF linaingia Hebron kuharibu miundombinu ya magaidi, handaki walizochimba na kuwang'oa magaidi...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi laongoza kwa kunyanyasa waandishi wa habari

    Jeshi la Polisi limetajwa kuwa miongoni mwa makundi yanayoongoza kwa kunyanyasa waandishi wa habari nchini Tanzania, huku wadau wa sekta hiyo wakitaka uchunguzi wa vitisho na mashambulizi dhidi ya wanahabari kufanyika kwa haraka na wahusika kuwajibishwa. Hayo yameelezwa leo, Oktoba 29, 2026...
  9. Superbug

    JamiiForums Tanzania TBC mnazungumzia kuporomoka gorofa Kenya vipi kuhusu kutekwa kwa mtanzania mwenzetu Twaha Mwaipaya hiyo sio habari kwenu?

    TBC mnazungumzia kuporomoka gorofa Kenya vipi kuhusu kutekwa kwa mtanzania mwenzetu Twaha Mwaipaya hiyo sio habari kwenu? TBC hivi kutekwa KWA TWAHA MWAIPAYA sio habari kwenu?
  10. Sir mgax

    JamiiForums Tanzania HABARI…

    Yes,Hii ndiyo salamu sahihiambayo imehalalishwa dunia nzima. Kwa mfano kizazi cha sasa ambacho kinapambana sana kujua lugha ya dunia haswa kibiashara,ninaweza kusema wamesha sahau jadi zao. Sio kosa, Ndio kabisa kwa sababu hata hizo za jadi ni zile zile za kujuliana hali,ni SALAMU. Ndugu...
  11. Gobole Lenye Risasi

    JamiiForums Tanzania Huyu tayari. Kwisha habari yake. Mliooa ni kujiadhali na kuua au kujiua. Mkubali matukio yapo

    Nimemfahamu last week ofisini kwao nimeonana naye mara mbili ya tatu nimemgonga. Ni mtamu balaaaah.... Namfikiria vituko vyake mtu mzima anadeka kama mtoto. Wakati namwomba game alikuwa anakataa huku nguo zinatoka... Akaanza kulia huku anakatika kuwa ninamfanyia vibaya alikuja tu kunisalimia...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Habari za kusadikika za Jehanamu

    https://youtu.be/O_SUcbrMqj8?si=9lV3IW-51-8Qznw2
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Lisu kuongea na wana habari leo 24.10.2025 saa tano

    The placard tells it all Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa Mawakili wa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, wanatarajiwa kufanya mkutano na waandishi wa habari leo, Oktoba 24, 2026, katika Makao Makuu ya chama hicho, Edwin Mtei House, Mikocheni jijini Dar es Salaam...
  14. D

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Halmashauri ziangalie Vijana wanaojitolea Vituo vya Afya, wanafanyakazi nzuri lakini wana hali ngumu

    Kuna changamoto kuhusu utekelezaji wa mikataba ya watumishi wa afya chini ya TAMISEMI iliyotolewa mwaka 2025, ambapo baadhi ya watumishi wanalipwa kiasi cha shilingi 100,000 kwa mwezi, huku kukiwa na malalamiko kuhusu kutokuwepo kwa usawa katika malipo ya kazi za ziada (overtime). Baadhi ya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Habari za wananchi kuwandunda Polisi zimeanza kuota mizizi

    Ni mwendo wa kuwadunda tu👇
  16. Mla Bata

    JamiiForums Tanzania Tulikutana behind anonymous usernames, urafiki ukawa halisi, lakini leo hatujui walipo wala kama kuna siku tutasikia habari zao tena💔

    Wasalaam, Maisha ni fumbo lisilo na majibu ya moja kwa moja, leo tunakutana na watu, tunajenga ukaribu wa mda mrefu, lakini kesho hatujui njia zetu zitatupeleka wapi. Wengine huwa sehemu ya maisha yetu kwa muda mfupi, lakini alama wanayoacha mioyoni mwetu hudumu kwa miaka. Wakati mwingine...
  17. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Malipo ya Polisi nayo yawe kwa Control Number

    Habari wakuu Mapendekezo njia ya malipo Kwa control number ya police, Ikiwa dawasa na parking unaweza kulipia kidogo kidogo kama una deni la maji au parking kwanini Police pia wasije ma mfumo huo huo kulipia baada kumuandikia dereva fain 30000 aweze kulipia kidogo kidogo inasaidia kulipa kama...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari za Uchunguzi, tusaidieni katika hili

    Tuthibitishe kama kweli ni mtanganyika halisi. Tujue jina la mke wake. Tujue majina ya watoto wake ili tuweze kujua kama kweli ni mkatoliki au alishabadiri imani yake kama inavyodaiwa. Asanteni.🙏
  19. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Inchi bado imevimba acheni kiburi mapokezi ya miss grand wanainchi hawana habari

    Kuna usemi wa kiswahili unasema kibaya chajitembeza kizuri cha jiuza haya angalia hayo mapokezi unaona watu wa tabaka moja hatuoni wale wenzetu wasio na viatu unga unga mwana walisukumwa na tukio zaidi tunaona kundi furani liliotoka nyumbani likavaa na kupendeza ajiri ya tukio maana yake nini ni...
  20. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Nafurahishwa sana na utangazaji wa watangazaji EATV habari

    Pamoja na kwamba wanatumia camera za zamani sana kurekodi taarifa Yao huku watangazaji wakiwa hawaonekani vizuri ama kuonekana wanene kuliko kawaida lakini Samsoni Charles na jopo lake wanahabarisha kwa weledi mkubwa Hali hii imepelekea wao kuwa vinara wakiwapiku wenzao wa ITV,Channel Ten,Star...
Back
Top Bottom