Baada ya kugundua nia yenu ovu mliyokua mmeipanga nikifika makao makuu, sasa kuna jambo mnaniandalia ofisin makao makuu muda huu. Nipo tayari kupokea. Mimi ni kiongozi mwenye address na address yangu inafahamika
Ameandika ktk X yake
Lema ndio afisa habari chadema? Jana Lema kaongea nini ? Au kawatabisha tu media? Maana waandishi hata swala 1 hawakuuliza. Wapi umeona mkutano unakosa swala la waandishi?
Kwa mara ya kwanza waandishi wa habari hawajaukiza swali ktk mkutano wa CHADEMA.
Lema leo aliwaita waandishi wa habari ,lon cha ajabu hakuna alichowaambia badala yake kawaaambia kutakua na event itafanyika kesho kutwa.
Hakuna location , wala aim of event
Habari naomba kusaidiwa dawa ya kupona bile acid reflux, nilienda hospital baada ya kuwa nasumbuliwa sana na tumbo kuwaka moto kama naungua tumboni baada ya kipimo cha endoscopy shida ilionekana mlango wa chini wa tumbo upo wazi nyakati zote( sphincter pyloric) kwahiyo unaruhusu alkaline kutoka...
HALI YA AFYA YA BABA MTAKATIFU
Hali ya Baba Mtakatifu inaendelea kuwa mbaya; hata hivyo, tangu usiku uliopita hakujakuwa na shida ya kupumua.
Alifanyiwa upasuaji wa kuongezewa damu yenye chembe nyekundu zilizokolezwa, kwa manufaa na kurudi kwa kiwango cha hemoglobini.
Upungufu wake wa chembe...
Mwanamke wa kuoa ni muhimu kwao na kwa mwanaume kuwe na uwezo sawa kiuchumi,, kielimu na kidini???.
Wanajukwaa habari zenu,natumaini mu wazima wa afya .mada ni kama ilivyotajwa hapo juu.
Katika miaka ya hivi Karibu swala la kutafuta mwenza wa kuishi naye limekuwa gumu kidogo baina ya vijana...
ndo naambiwa kuwa huyu mchezaji ana asili ya Tanzania. Andendekyise Mwakikole na wanasema wazungu wakaamua kumuita Andy Cole. hayo nimeaambiwa leo nikiwa hapa Jangwani na wazee wangu wa Yanga wakinipa stories mbili tatu za michezo na wanamichezo. nikashangaa kuwa kuna mchezaji ambaye anachezea...
Singida BS wamesema kocha wao aliondolewa kikosini kwakuwa hakuwa na sifa za kukaa kwenye bench kutokana na kanuni na matakwa ya bodi ya ligi na TFF wala sio eti Kwa sababu alipanga kikosi kilichoipa upinzani Yanga
Singida BS wameongeza kuwa coach Aussems alipenda maisha ya Anasa ya kula bata...
Habari wakuu nina changamoto ya kufanya malipo aliexpress leo siku ya 5 nmejaribu hata kutumia account ya jamaangu bado nimejaribu kutumia visa card ya voda wap nmejarbu kuwasiliana na benk husika kuona kama kuna tatizo wamenambia wao hakuna tatizo nmewachek aliexpress pia na wao vivyo hvyo...
Pia ikumbukwe kuwa raisi wa Ukraine amesha maliza muda wake wa uraisi.
Hata hivyo uchaguzi mpya Ukraine haukufanyika kwa sababu ya vita.
Pia Ukraine imeruhusiwa kujiunga na umoja wa ulaya EU kwa kuwa umoja huo sio tishio kwa urusi.
Biblia Imenusurika Mara Nyingi Kuangamizwa – Wakati wa utawala wa Diocletian watu walikatazwa kutumia Biblia. Nakala zake zilichomwa, na waliomiliki waliuawa. Licha ya mateso hayo, Biblia ilizidi kuenea.
Biblia Imekuwa Kitabu Kinachouzwa Sana Duniani – Licha ya kupingwa sana, Biblia inashikilia...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa juhudi za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan zimeifanya Tanzania kuwa kinara barani Afrika katika uzalishaji na usambazaji wa umeme.
Akizungumza na wanahabari katika Mradi...
Kila siku tunalalamika kuhusu waandishi wa habari za michezo nchini kukosa weledi wa kuuliza maswali
Jana baada ya mechi Kocha wa KMC aliulizwa swali ambalo kocha huyo alijibu sawa sawa na muulizaji alivyo uliza.
Huyu mwandishi wa habari alikuwa anajikakamua na Kingereza chake cha kuunga unga na lafudhi ya Kihindi kwenye press conference ya Trump na Modi Trump akamwambia haelewi hata neno moja analolitamka akaachana naye akaenda kwa mwandishi mwingine.
Habari wadau nina tatizo unaenda mwaka sasa linanisumbua huu upande wa kulia kuna mabadaliko yani tatizo huwa linanianza ikifika mida ya jioni naanza kusikia maumivu upande kiuno kukaza mpaka maumivu ya mgongo.
Sasa nilijaribu kwenda hospitali niliambiwa nina shida ya mawe kwenye figo ya kulia...
Kwa ma globalists wenzangu tunaopenda mambo ya kimataifa hasa viongizi wa Dunia, Leo Dunia imechanganyikiwa baada ya Trump kuongea na Putin jumatano ya jana.
Matukio makubwa kama mkutano wa mawaziri wa ulinzi zaidi ya 30 wa nchi wanachama wa NATO, hotuba za viongizi wa nchi mbali mbali na maoni...
Naishi Dar es salaam nimewahi kufanya kazi kwenye shule za private ili nilishndwa kuendlea kufanya kazi sabbu shule ambazo nilibahatika kufanya kazi hawalipi mishahara Kwa wakati unaweza kukaa hata miezi mitatu hujalipwa hivyo naombeni mnisaidie connection ya kazi yoyote ambayo itaniingizia...
Habari za kwenu Wana jamii.....!!!
Katika pita pita kwenye mitandao ya kijamii nikakutana na habari hii yakusikitisha ila kilichonisikitisha zaidi ni taarifa ya habari hii kutolewa maamuzi ya mwisho yaliyo niacha na maswali kadhaa
1. Ni kweli kijana huyu mwenye umri mdogo, mke na mtoto Mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.